Wema Sepetu Akanusha Uvumi wa Mimba Yake Kutoka......

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mashabiki wa Wema Sepetu waliingiwa na hofu kali baada ya mtangazaji wa Clouds FM, Soudy Brown kuandika post yenye utata.

“Pole Dada @wemasepetu mungu akupe nguvu ktk kipindi hiki kigumu, akupe moyo wa uvumilivu pia ili utoke hospitali ukiwa salama inshaallah, kazi Yake Mola haina makosa #INASEMEKANAETI,” aliandika Soudy kwenye Instagram.

Wengi walitafsiri post hiyo kuwa huenda ujauzito wa Wema ukawa umetoka. Wengine walienda mbali zaidi hadi kutengeneza chat za Whatsapp kukuza zaidi kama hiyo chini.


Hata hivyo inaonekana kuwa hakuna ukweli wowote. Wema amepost picha kwenye Instagram akiwa mwenye furaha na kuandika: It all began with a smile…”

Comments zote za mashabiki wake zinaonekana kujikita kwenye tetesi hizo.

“@wemasepetu my lv,pliiiiizzz stop kuonesha mimba yako in public for sometyms now wala mtu yoyote kushika tumbo lako,km siyo yo family members and baba k pliiiiiiizzzz,coz ushaona how people wish mimba yako iharibike au kitokee kitu kibaya kwenye mimba yako na kweli wamefurai as you see,pliz stop it kama unapenda kuitwa mama for real,yup waweza ukawa wawish for everyone to see yo preg as umesuffer alot kuipata,that is to prove pplo wrong kwamba hata wewe umeshika mimba and its de first tym,I know wat yu fil,ila tunaokupenda tuna wish ujifungue salama mdA ukifika..pliz pumzika mama for now mimba haiitaji stresses na hiyo ndo kitu naona maadui zako wanajaribu kufanya,to stress u,pliiiiiiizz @idrissultan take Care of the baby,kip wema out of negativity,#we in pressure now#minb,” ameandika shabiki mmoja.

Chanzo: Bongo5.com
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Oops
    Mimba hii imekuwa gumzo kushinda rais Magufuli

    ReplyDelete
  2. Usiwajibu many wala Isioneshe tumbo usitoe kionesho chochote nyamaza tuu ,mafisadi hao lkn mungu atawashinda

    ReplyDelete
  3. Acha kuwaangia wanadamu muombe mungu akuepushe keen tanur hili l
    a majanga

    ReplyDelete
  4. My advise to you bby mimba sio kitu cha matangazo ikiwezekana husipige pic wala kupost chochote juu ya mimba yk hata whtsp husiweke muombe mungu akupe unachohitaji sio kujitangaza mitandaoni sio wote wanaopenda uzae so take care mtangulize mungu mbele mamy

    ReplyDelete
  5. lakini na haya majamaa ya ajabu sana, kamimba kanakuwa kama kaishu ka kwanza duniani! lol. hivi ingekuwaje kila mtu atangaze mambo yake ya ndani?? Huu ni ubwege.

    Vile vingine navyo sijui vizari and the team, What is so big that you wanna expose to us everything in your family matters?? Au ndio kuiga mambo ya akina kanye west?? Kumbukeni hapa ni TZ tu wala sio hata SA.

    ReplyDelete
  6. wema mtoto mungu amekupa usijali akipenda utazaa asipopenda ni mapenzi yake mungu ila please funga ndoa na idrisa so cute sio kama domo kila mkoa ana dem wa nini sasa milion stress milion cheating

    ReplyDelete

Top Post Ad