WEMA SEPETU Hivi Huna Ndugu Wanaojitambua Wakakushauri? Where is Endlessfame? Drama Zina Mwisho Wake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mnasemaje? Wema hakuwa na mimba? Mnamaanisha watu wazima kabisaaa mkaaminishwa na mkapost kwenye accounts zenu! jamani eeh Mimba si matangazo, mimba haijifichi msipate shida .

.
Mnajua nini? Inachekesha but inatia uchungu na huruma Sana! Mtu anawezaje ku fake maisha? Yaani nahisi ni risk na gharama Sana kufurahisha watu! Why Wema kuhangaika na hizo mambo wakati unaweza kufanya vizuri zaidi!?! Why usiwe wewe? Na mbaya zaidi wanaoyasema ni watu wa karibu, habari zafikaje kwa media? Unazipeleka wewe au Marafiki!!?? Hivi huna ndugu wanaojitambua wakakushauri???
.
Mimba kutafutwa, matangazo,
Mimba kuingia, matangazo
Mimba kujaa tumboni, matangazo,
Mimba Radio Matangazo
Mimba social networks matangazo,
Mimba kuumwa tumbo, matangazo
Mimba chumba cha operation, Matangazo
Mimba kutoka, tena mapacha, matangazo
.
Matangazo, matangazo, drama drama, scandal scandal....kweli unayaweza! Ugua pole sidhani kama uko mzima! Kuna pepo limekaa mahali inabidi litolewe ndo utajitambua kwamba maisha si matangazo maana watu wataona ukweli mwisho wa siku!! tumia jina lako vizuri kutangaza zaidi Kazi zako, where is Endlessfame? inabidi i kiki kuliko mimba!! Fanya kazi tafuta Pesa, drama zina mwisho wake, but huwa haviingiagi kwenye ubongo so ni Kazi bure!!

By Mrekebishatabia
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wapo wanayoyaeneza si yeye

    ReplyDelete
  2. kuna watu bila kumtaja Wema hawapati usingizi.

    ReplyDelete
  3. mbona Domo na bi kizee wanajitangaza hamuwaoni mnamuona Wema. koma mbwa ww.

    ReplyDelete
  4. NA LILE TOTO LA SANAMU LINALOTANGWAZA HULISEMI. NYOOO UTAKUFA KWA PEWSSURE

    ReplyDelete
  5. na wewe nawe si ungeanza kuwashauri kina anti ezekiel na zari walivyokuwa wanafunua matumbo yao nakuyaanika nje kwenye media, au una visa na wema!? masuper star hata wa ulaya mambo hadharani acha ushamba wako.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ikiwa kweli ana mimba si afunue Tumbo tuone

      Delete
  6. AUNTY wakati anamimba alikua akubali kama kweli anayo tumbo lilipoanza kuonekana ndio akakubali sio yeye hata kujua ajajajua ndio ninayo tena miezi 6 makubwaaa sawa ngoja tuone ila atajifunza kitu

    ReplyDelete
  7. Tangu lini shoga WA mange kimambi akawa Na akili wote mashetani hawa

    ReplyDelete
  8. wewe jaribu kuchunguza mashoga wa mange kimambi wenye akili zao timamu wamemkacha,yamebaki makapi kina wema.mange kapi,wema kapi.pole zao.

    ReplyDelete

Top Post Ad