Zitto Aanza Vita ya Wazi Dhidi ya Rais Magufuli

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Sasa ni wazi kuwa Zitto kaanza rasmi kumshambulia Rais Magufuli, ukiangalia trend ya tweet zake za hivi karibuni ameaonekana kukosoa juhudi za Rais Magufuli tofauti na ilivyokuwa kipindi cha nyuma kidogo.

Mfano wa tweet zake na zingine ameaonekana kucopy kwa JK:

"@JrMalcolm88 @MariaSTsehai @Mkandara Rais ana historia ya kuingiza Taifa hasara. Mmesahau Meli ya Samaki? Mmesahau petrol station Mwanza?"

17m17 minutes ago
Zitto Kabwe Ruyagwa ‏@zittokabwe
@MariaSTsehai @jmkikwete Rais anasema watu ready handed wafungwe hapohapo? Hamjui nyie kuna watu hubambikiwa kesi mitaani? Tuwe makini sana
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. what about jimbo lako , charity begins at home

    ReplyDelete
  2. Kweli haswa ukiwa mpinzani WA CCM

    ReplyDelete
  3. Magufuli hana ina mbaya ila polisi Na mahakama ndo shida
    Magufuli ushauri WA bure nyumba inanza wenye msingi
    Angalia ni mapolisi Na mahakimu wangapi njisi gani wamepata vyeo vyao
    Wapo Watanzania wengi wenye phd za sheria lakini hawawi majaji kuna upendekeo mkubwa

    ReplyDelete
  4. Jamani hizo lugha zimezidi hiyo Ni jinsia ya mama yako ifanyie adabu mdau hapo juu fikiria sana

    ReplyDelete
    Replies
    1. Msenge wewe
      Msoga iliwapa ujaji bure bureshi

      Delete
  5. Ready handed au red handed?

    ReplyDelete
  6. Tukisema jamaa anakurupuka watu wanakasirika, sasa ona na hii. Hata hiyo ready handed lazima ifanyiwe uchunguzi, sababu kuna kubambikiwa kesi na hawa polisi vibaraka wa fisiem.

    ReplyDelete
    Replies
    1. rais hakurupuki acheni ujinga nyie watu
      kama uisikiiza hotuba vizuri otaona jama anazungumza kwa dhati kabisa tena kwa ajili ya mtanzania wa kawaida
      bakini hvyo hvyo na ujuha wenu
      huyo zitoo ndio anakurupuka na hana uchungu na taifa hili ni mnafiki mkubwa sana wa siasa
      uchunuzi ukamilike kwa haraka ili watu wapate haki zao

      Delete
    2. akisema ukweli mnadai anakurupuka
      khaa kweli kuna mijitu haina akili kabisa apa dunian pumba mwili mzima
      fyuuuuuuuu we na kabwe wako mnafikiria kwa makalio

      Delete
    3. Anakurupuka sana tangu alivyokuwa waziri mifugo Na uvuvi
      Kuchuwa Na Na kuzuia meli ikaaa je serikaliemelipa kiasi gani
      Siku Huna haja ya kushika kikaa polisi piga Picha au video ni ushahidi tosha mahakamani

      Delete
  7. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  8. Hahaaaaa mie kwenye hotuba nimemsikia akisema "lediendedi"...

    ReplyDelete
  9. Anonymous at4:52 unaleta masikhara wakati watu wapo serious

    ReplyDelete
  10. Ndio anakurupuka!!!.. hata ukimshika mtu na kithibiti, bado kuna utaratibu wa sheria katika nchi uoyote yenye democracy. Hawezi tu kujisemea apelekwe akafungwe. Tatizo skili zenu finyu, mnashangilia tu kila kitu badala ya kufikiri na kuhoji. Acheni ushabiki usio na tija.

    ReplyDelete
  11. Mimi ni mmojawapo ninayemheshimu Mhe, Zitto, kwa maoni yangu naona hajafanya kitu ambacho ni kibaya kwani ametoa anagalizo kuwa umakini usipotumika uenda watu wengine wakatolewa kafara kwa ajili ya wengine amabapo si haki. Na hili siyo kumpinga Mhe, Rais kwani yale yote aliyokuwa akiyalalamikaia kutendeka visivo serikalini na kwa baadhi ya viongozi yanafanyiwa kazi na Dr Mghufuli kwa kasi ya ajabu. Kwa mtizamo wangu Mhe, Zitto anakubaliana na move za Rais wetu mpendwa. Wenzetu tunaochangia tutumie ukurasa huu vizuri kwani maoni haya wapo watu makini wanayafanyia kazi kwa maslai yetu sote. Matusi na lugha za ukakaksi ni za nini?

    ReplyDelete
  12. Wenye 'majipu' utawajuwa tu, wanaogopa kutumbuliwa!! Hivi unaweza kubambikiziwa pembe za ndovu kweli??? Hebu msimkatishe tamaa JPM, HAPA KAZI TU!!

    ReplyDelete

Top Post Ad