google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Abiria Wanusurika Kufa Katika Ajali ya Ndege Mjini Bukoba Leo | UDAKU SPECIAL

Abiria Wanusurika Kufa Katika Ajali ya Ndege Mjini Bukoba Leo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Watu kadhaa wamenusurika  kufa baada ya ndege ya Shirika la Ndege la Auric Air waliyokuwa wakisafiria kupata ajali katika Uwanja wa Ndege wa Manispaa ya Bukoba ilipokuwa ikitua na rubani kupoteza uelekeo  kama inavyo onekana pichani.

Ndege hiyo ilikuwa ikisafiri kutoka Jijini Mwanza ,tukio limetokea majira ya saa nne asuhuhi ya leo Jumamosi April 30,2016.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. MUNGU NI MWEMA. TUNAMSHUKURU!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad