Hizi Hapa Picha za Mrembo Anayedaiwa Kutoka Kimapenzi na Diamond Platnumz...Timu Zari Waendelea Kumuandama

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mashabiki wa Zari the Bosslady wanamshambulia Lynn, mrembo aliyetumika kwenye video ya ‘Kwetu’ ya msanii wa WCB, Raymond kwasababu wamesikia tetesi kuwa amechepuka na Diamond Platnumz.

Tetesi hizi ni kubwa kiasi ambacho watu walio karibu na mastaa hao wamedai kuwa zimeitikisa ikulu ya Chibu. Wanadai kuwa Zari amekerwa na tetesi hizo na kwamba uhusiano wao umepata dosari.

Wiki hii tetesi hizo zimevuma zaidi kiasi ambacho mashabiki wa Zari wamekuwa wakimmiminia matusi Lynn kwenye akaunti yake ya Instagram.

Inafurahisha kwasababu Lynn haoneshi kutikiswa na matusi hayo huku pia akipewa support kubwa kutoka kwa mashabiki ambao hawampendi Zari. Of Course Team Wema yote inaonesha kuwa nyuma yake!

Cha kuvutia zaidi ni kuwa Lynn ni msichana mdogo na mrembo sana kiasi ambacho wasiompenda Zari wanasema anafaa zaidi kuwa kifaa cha Bin Mondi. Kwa wengi hizi bado ni tetesi tu lakini kama ukiangalia post za nyuma za Lynn, utagundua kuwa alikuwa shabiki mkubwa wa Daimond kwakuwa amekuwa akiweka picha zake [Diamond] mara kwa mara.


Toa Maoni yako:
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

17 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Watu pipooooooo santeeeeeee mtoto lynn nakupenda hadi naumwa...jilie raha mama...yani kama wema vile so calm n so beautiful hahahhahahah jibibi jitu upoooo..

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wala sishangai maneno yako maana umalaya kwenu ni kitu cha kawaida sana, ndio nyie mnatembea mpaka na utamu wa mama zenu. Congrats kwa sana.

      Delete
  2. Jamani naombeni jina lake kwenye insta nimfollow mbona rahaaaaa,hahahaha

    ReplyDelete
  3. NACHOMPENDEA DAI NI MZEE WA KUWAVUA CHUPI HACHELEWESHI KABISA

    ReplyDelete
  4. mishauo yoote kwishaaaaa! arudi kwa Ivan wakamle tuu, kaangaika na mtoto wa kumzaa kamvulia nguo halafu anajifanya anamiaka 35 kumbe 45. bi masumbuko umedodaaaaa.

    ReplyDelete
  5. bi masumbuko atashika mimba kwa nguvu ili aue soo. mtoto iynn msweety ndo kwanza anaanza kuumuka. kiko wapi kumbe Dai yuko nae toka mwaka jana wakati bi zee anaangaika kupiga picha za vigodoro.

    ReplyDelete
  6. kweli ukoo wa Domo ni waswahili sana. sasa Esma anajua kabisa anawifi mpya ila anavyojichekesha kwa Zari

    ReplyDelete
    Replies
    1. sasa ulitaka amnununie khaaa

      Delete
  7. toto lenyewe baya na sura mbaya hapo pichani inaonekana katumia heroin, unga, Diamond ni heri utulie na Zari, hilo hapo pichani hakuna kitu, na wala sikutanii, mimi sio team yeyote

    ReplyDelete
  8. hahahaaaaaaaaaaaaa. nasikia rahaaaaaaaaaaaaaaa kama nn. nilikuwa sikupendi Dai ila moyo wangu unekuzimikia saaana wallahi. acha kulelewa na bibi bomba bwana unatutia huzini watz wenzio. chukua onyesha tambaa na mtoto saizi yako mzurije.

    ReplyDelete
  9. wote hamjui ndoa na ni nn umalaya tu umewajaaaa.......mke atakua huyo kicheche wa kutupwa tu

    ReplyDelete
  10. Zari mwenyewe Bibi kicheche

    ReplyDelete
  11. zali pia sio mke wamewekana tu kipesa zaidi diamond muislam ruksa wake wanne muoe kwa ndoa tu uweke ndani katoto kazuri mashaah

    ReplyDelete
  12. binti mzuri kweli.!!size ya dai

    ReplyDelete
  13. hata wewe ni kicheche na ni malaya wa kwanza duniani Anony 10.48 PM. itakuwa Dai

    ReplyDelete
  14. Mngekuwa mnampenda huyo domo mngemshauri afunge ndoa ananitia kinyaa hata kwenye picha ananuka uzinifu pumbavu zakee

    ReplyDelete
  15. zari malaya katembea na watu kibaooooo,nimeshangaa eti hajapata ukimwi,aende zake huko,nilikuwepo kwenye 40 ya tiffah,alikuwa anamfokea diamond kama mtoto hana heshima kwa wanaume zake.

    ReplyDelete

Top Post Ad