Madawa ya Kulevya yamponza Mwanamuziki Ferooz...Mwenyewe Asema Haya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya ukimya wa muda mrefu sana wa wakongwe wa muziki wa Bongo Flava story zilizopo mtaani ni kuwa Ferooz ni miongoni mwa wasanii wanaotumia madawa ya kulevya na ndiyo sababu iliyompoteza kwenye reli ya muziki.

Kupitia Enewz Ferooz alikanusha tuhuma hizo na kudai kuwa misongo ya mawazo ndo huwa inawapelekea wasanii kuingia katika matumizi hayo ya madawa ya kulevya na kuwataka wengine wasifanye hivyo.

Ferooz amesema kuwa “Ni mara kumi upate UKIMWI kuliko uwe unatumia madawa ya kulevya” lakini pia akaongezea kwakusema “Nawashauri watu wengine pamoja na wasanii wenzangu wasije wakajaribu kufanya hivyo”.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hawa wasanii washaona hii kitu ndo fashion, ikiwatia uchizi na kudumaza mwili hujitokeza ili kupata misaada

    ReplyDelete
  2. Ferouz mungu atakusaidia fani namba one

    ReplyDelete

Top Post Ad