Mh Mbunge Sugu Amnunulia Mpenzi Wake Gari Mpya Aina ya Lexus..Yazua Gumzo Mtandaoni

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ripoti kutoka mitandaoni zinasema kuwa Muheshimiwa Mbunge Sugu Amemzawadia Gari aiana ya Toyota Lexus kama zawadi ya siku ya kuzaliwa kwa mpenzi wake ajulikanae kama Happiness, Sugu na mpenzi wake huyo mpya wamekuwa gumzo mitandaoni hasa baada ya aliyekuwa mpenzi wa Sugu wa zamani Faiza Ally kusema bado anampenda Sugu....Wadau wengi tunasubiri kuona Faiza atasema nini kuhusu hilo kwani amekuwa sio mvumilivu wa kukaa kimya kinapokuja suala la Sugu

Hizi Hapa ni Baadhi ya Comments kutoka kwa wadau mitandaoni:

mrs_j6316 @mwakobadoris :njoo umuone Mrs sugu au first lady was Mbeya yetu mpaka raha wallah afu ametulia hadi uso

full_mikuki :Maskini bahati hizi wengine acha tuzae tu

fine_mushy: Tenaaaaaa sio Harrier bubu Maana Kuna Harrier Kma Harrier mamaeeeee kitu LEXUS hiooooo

official_chagga_girl: Kuna watu wanakufaa ukoo,haaa haaa @tit4tati




-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. wow nice!!!!!

    ReplyDelete
  2. Siyo mzuri kama faiza, sijui mgoni (mngoni) mwenzie mwe!!!

    ReplyDelete
  3. Ana uzuri wowote viguu kama mshikio wa taa ya chemli

    ReplyDelete
  4. mbona Faiza gari anazo kama mbili, halafu huyo mpenzi wa Sugu wa sasa siyo mzuri hata kidogo hapo Sugu kachemsha maji, Faiza ni mzuri sana tena Faiza anapendwa na wazungu kwa ajili ya rangi yake.

    ReplyDelete
  5. huyo mpenzi wa Sugu anaonekana kutoka sehemu za uswahilini hehe

    ReplyDelete
  6. Hivi unapo anagalia kwa macho yako 2 hilo gari ni jipwa??

    ReplyDelete
  7. Mh mbaya bhana...na hicho kishida alichovaa wooiiii

    ReplyDelete
  8. ni mzuri kwa sugu, acheni roho stoki banaa hata nyie pia ni wabaya kwa wengine.

    ReplyDelete

Top Post Ad