Rais Magufuli Anavyokubalika Kenya..Timu ya Mpira yaita Tawi lake jina la Magufuri

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Jina la Rais wa Tanzania limekuwa gumzo sehemu nyingi duniani kutoka na staili yake ya kuongoza na kufatilia mambo, nchini kwenya mashabiki wa Timu ya mpira ya Gorimahia wameunda Tawi la timu hiyo na kujiita jina la magufuli kama inavyoosha hapo kwenye picha, hiyo ikiwa ni kuonyesha jinsi gani wanavyomkubali Rais huyo na kauli mbiu yake ya hapa kazi tu..
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Alinena HATO TUANGUSHA..Hapa kazi Tu.. Na kweli tunayaona na Hamuomei haya mtu aliyevurunda au anayevurunda.. Tuko nae Kafika safari ndefu tulioianza.. Maneno na siasa nyingi hatupendi na hazipendi... Tuombeane mungu TUTAFIKA..JPJM ENDELEA BABA.... NA WATANI ZETU KENYA TUNASHUKURU KWA IMANI NA MAPENZI YENU MNAOTUONESHA NANYI MTAFANIKIWA TUU..NIA NA LENGO LOWE KWA IMANI NJEMA NA MASILAHI YA NCHI YENU NA WANANCHI..OURS IS A GAME CHANGER IN AFRICA N LEADERSHIPS...Being lead by Role model non other than Mtoto wetu JPJM..Mcheza kwao HUTUNZWA...MUNGU AMUHIFADHI NA KUMPA AFYA NJEMA NA AMLINDE NA MAADUI NA UADUI WAO

    ReplyDelete

Top Post Ad