Breaking news; Tundu Lissu na Esther Bulaya Wafungiwa Kuhudhuria vikao vyote vilivyobaki vya Bunge

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Tundu Lissu na Esther Bulaya wafungiwa kuhudhuria vikao vyote vilivyobaki vya bunge la bajeti na bunge lijalo la mwezinwa tisa. Vilevile Zitto Kabwe, Pauline Gekul, Godbless Lema na Halima Mdee wafungiwa kushiriki vikao vilivyobaki vya bajeti na John Heche afungiwa kuhudhuria vikao kumi mfululizo vya bajeti kuanzia leo.
Huu ni uamuzi wa kamati Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge chini Mh George Mkuchika (Mb)
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

24 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hiyo sasa sifa!!! ha, jamani mtu asiongee ukweli imeshakuwa tabu!! ah, mngefanya action kama hiyo na katika kuwakamata wauaji wanaoua watu hovyo tungeshukuru kweli kweli.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hamna ukweli wowote ni bla bla bla ili mradi posho inaingia. Wanaleta ushamba tu bungeni no point at all. Nafikiri polisi iko vizuri kusaka na kuwakata wauaji sina Shaka na serikali yetu

      Delete
    2. Ama kweli!! wewe umemuona ana pointi huyu !! au mko kijiwe kimoja... Ni utumbo ukosefu wa nidhamu na kuleta mijadala ambayo tija haipo na haitoonekana.. Ikimchukulia kama alivyo ni kijana asiye na Majukumu ya kifamilia na irresponsible ila magazeti yetu yameweza kumpa Airtime to an extent ..ni lazima alete skendo ya ubishani pasi na mwelekeo basi ni vurugu vurugu tu.. Jaribu kuangalia kikao cha pili cha bunge la kumi na moja uone how arrogant he acts na alimkuta Chege anasubira sana.. Misbeheviour un controllable arrogant and moreover he did what he want to an extent kuwaonyesha wabunge wenzake kuwa angalieni huyu hanielewi na mimi simuelewi .. Ameshindwa kujitambua kuwa yuko pale kwa ajili ya nini na anetegemewa kuwa nimfano wa kivipi kwa wananchi na kwa wote wanaolijua bunge la utaifa na matkwa ya wananchi juu yao..Tena mdau tuombe na tru mungu kwamba mwenye fikira potofu Wewe hunaA nia njema na nchi.. Amani na utulivu tuliokuwa nao katika nchi yetu nadhani hakuna mfano wake hapa Afrika KWA Upendo na Ustaarabu Tanzania inasifika na ukitaka kujua toka nje ya nchi ndiyo utajua na kumshukuru mungu kwa haya... Nakuomba upumzike na ukae kimya mkosa usalama katika Roho yako na Mbinu za KUHUJUMU AMANI NA KUMWANGUSHA BABA JPJM..

      Delete
    3. Tunakushukuru kwa kutuonesha kwamba, hata darasa la nne ulifeli. Basi ni vema ubwabwaje hayo matope yako kwa kishwahili, maana Kiingereza bado hujui na kwa uwezo wako finyu hata ujinze kwa miaka 100 hautakijua kamwe kamwe.

      Delete
  2. Sasa tuone kama ni kweli hilo Bunge haliwezi kwenda bila wao. Wamezidi kuja na agenda zao feki za kuikosoa Serikali bila ya sababu za msingi. Na hizo chuki zao tuone watazipeleka wapi. Na ndio maana walikuja na agenda ya kulitaka Bunge lionyeshwe live. Kumbe walikuwa na agenda ya kuuza uozo wao kwa wananchi ili wananchi waichukie Serikali yao. Na sasa wamekwama na wataisoma namba mwaka huuu........#HAPAKAZITU

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hivi wewe ni kweli upo ndani ya nchi? Ama upo nje ya nchi? Maana mchango wako hapa unaonyesha hujui hata bei ya sukari ni shilingi ngapi dukani,matibabu yakoje katika hospitali za serikali, kiwango cha elimu kikoje nchini,kipato cha mwananchi wa kawaida kikoje? hivi inawezekana tokea nchi imepata uhuru adi leo tulalamikie madawati yakukalia wanafunzi? Je hatuna misitu? Na kwa taarifa yako kazi ya upinzani nikukosoa pale penye kosa, ili serikali ijisahihishe na wananchi wapate unafuu wa maisha.

      Delete
    2. Wewe Anonymous 11:08PM unakuwa sio muelewa kabisa na pia unasikitisha sana kulingana na tatizo kubwa ulilokuwa nalo. Sasa kwa kukuelewasha kidogo kumbuka kuwa Bunge ndio mhimili mkuu wa kutunga, kupitisha, na kuzisimamia Sheria. Sasa kama Bunge ndilo lenye kazi hiyo na ambayo inafanywa na hao Wabunge basi tunategemea hao Wabunge ambao ndio watunga Sheria wataonyesha mfano mzuri sana kwa kufuata na kuzitii zile Sheria na kanuni ambazo wao ndio wanao zitunga. Sisi kama wananchi wa kawaida hatutegemei hao watunga sheria kuzipinda ama kuzichezea chezea zile sheria waliozitunga wenyewe kwa sababu haitaleta maana yoyote ile na kama wao watakuwa wanazitunga zile sheria na baadae wanazipinda ama hawazifuati je unategemea mimi kama mwananchi wa kawaida nifanye nini?????.....Kwa sababu ni lazima uelewe hata kama wao ndio watunga Sheria na pia ndio wanaozipitisha lakini pia hawako juu ya hizo sheria. Hilo ni jambo ambalo liko wazi kabisa na linajulikana. Kwa hiyo sitegemei hao akina Zitto Kabwe na huyo Tundu Lissu kuzichezea sheria na kanuni za Bunge kana kwamba wao wako juu ya hizo sheria. Hakuna kitu kama hicho hapa Duniani. Kama ni kweli walikuwa na nia njema basi wangeshirikiana kikamilifu na ile kamati ya maadili ya Bunge ili kutoa utetezi wao ambao wangeuona unafaa. Lakini hawakufanya hivyo na hiyo ni kwa sababu ya madharau na kujiona kuwa wao wako juu ya sheria wakati wao ni wananchi kama wananchi wengine wowote wanaotakiwa kuzitii na kuziheshimu zile sheria na ile mihimili mikuu inayozisimamia zile sheria. Na hapo ndipo utakapokucha kugundua aina ya Wanasiasa uchwara tuliokuwa nao katika Taifa hili.

      Delete
    3. Na pia wewe Anonymous 11:08 PM umezungumzia kuhusu bei ya sukari, matibabu pamoja na elimu inayopatikana. Inawezekana kabisa kukawa na ukweli, lakini hiyo haimaanishi kuwa sasa Wabunge ndio wavunje ile miiko ya utendanji wao kazi kwa kukiuka zile Sheria, taratibu pamoja na kanuni za Bunge. Kwani hata kama kazi yao ni kuikosoa Serikali lakini bado kuna utaratibu na miongozo mizuri tu ya Bunge ya namna ya kuwasilisha hizo hoja zao. Na wataisoma namba mwaka huu......HAPA KAZI TU!!!

      Delete
  3. " That
    no Member of this House do presume to make any Noise or Disturbance, whilst any Member
    shall be orderly debating, or whilst any Bill, Order or other Matter, shall be in reading or opening:
    And, in case of such Noise or Disturbance, that Mr Speaker do call upon the Member, by Name,
    making such Disturbance: And that every such Person shall incur the Displeasure and Censure
    of the House."

    " During
    debates, Members should be heard without interruption but can allow another Member to speak
    (give way) whenever they wish. They should not stray from the topic under discussion and are
    called to order by the Speaker should they do so."

    "generally speaking any act or omission which obstructs or impedes either House of Parliament
    in the performance of its functions, or which obstructs or impedes any Member or Officer of such
    House in the discharge of his duty, or which has a tendency, directly or indirectly, to produce
    such results may be treated as a contempt even though there is no precedent of the offence."

    Wataisoma namba mwaka huu. Wakaanzishe Bunge lao ambalo watakuwa wanaenda huko na kupigapiga makelele hovyo hovyo bila ya kuwa na heshima.

    ReplyDelete
  4. Heshima inatakiwa iwepo kila mahali na siyo mashuleni tu. Heshima ni kitu cha bure ila naona baadhi ya wabunge walijisahau lakini sasa ni fundisho. Hapana chezea serikali ya awamu ya tano. Nidhamu, uaminifu na hapa kazi tu....

    ReplyDelete
  5. No allowance tena warudishe magari ya serikali nao wakae kijiweni kama sisi wapiga kura.

    ReplyDelete
  6. Hawa ndio wabunge wanaozungumza hoja.ni hawa amao si waoga.kuwafungia nje ni uoga wa spika na udhaifu wa spika pia.spika anataka watu wasio na akili na elimu bungeni. Anataka watu wasemao ndio tu kwa hoja anazotaka kuzipitisha. Ni wa unge dhaifu wasio na maadili ndio wanaobaki bungeni.hawa ni wa inge wawakilishi wa wilaya zao.leo unawatoa nje kwa woga wako binafsi, na watu wanasifia.uminywaji wa uhuru ndio huu.watanzania wengi wamezoea kuendeshwa na hawsujui uhuru wao kamili ni nini.sheria kandamizi ndizo hizio.inasikitisha wengi hata wasomi hawajui.ni nchi hii tu inawatoa wabunge nje kwa kuwa ni wadadisi.wanajua sheria za nchi fika hawa wote mliowatoa ni wanasheria wanaotumia uhuru wao kusema mambo inapohitajika. Wengi wao wanaobamia ndani ni mizigo mitupuTanzania bado inawanyima uhuru wasomi wahali ya juu muleta babadiliko nchini.bado nchi kandamizi kwa watanzania badala yake ni wachina wezi, wazungu wajanja ndio wanaovunja sheria za nchi kupitia mimata a ya maraidi waliopita na kuisaini.mutoa mikataba nje na kuwanyima watanzania wasomi na kuwadaidia.wanawanyanyasa. mtaona m ele jinsi nchi itakavyoliwa na watu wanje kwa upumbavu wa viongozi wa nchi hii.mnawahemekea wachina majambazi wapembe za tembo toka raisi wao.wanaiba madini mpaka mchanga polisi na usalama wamelala.badala yake mnawanyanyasa wasomi wenye maadili na uchngu wa nchi hii.hiki ni kitendawili.je Magufuli anajua hii.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mdau hawa ni lazima tunawaongezea azabu na posho hakuna!! Mbinu zao zinaeleweka na uzoofu wao pia unaeleweka...Wewe umepagawa na mbinu zao wakubleni washi na huoni husikiagi..sababu biasala ya ngazeti inapungua kwa ajiri yako ajira imekosekanaga... wacha ndugu yangu wewe ukaage unangariage DRAMA KUCH NEHI ...KUCH NEHI

      Delete
    2. Anonymous 10:33PM Jitahidi sana kuzisoma na kuzielewa zile Sheria, Kanuni na pia zile taratibu za namna ya kuliendesha Bunge pamoja na miongozo yake. Ukiisha isoma na kuielewa itakubidi ujitahidi pia kulinganisha na zile adhabu ambazo hao Wabunge unaowaona kama wameonewa kama wanastahili ama la. Baada ya hapo ndio itakubidi ujifunge mkanda na kuja kubwabwaja maneno yako yasiyokuwa na kichwa wala miguu hapa mtandaoni. Uwe unafanya tathmini ya kutosha kabla ya kuja huku mtandaoni na kuleta maupuuzi yako. Nenda shule bwana mdogo.

      Delete
  7. Hongeren bung kwa uamuz mlio uchukua kwanz mulikawa. Hawa hawan heshima na muliwafungia mdaa mfupi mubg wap adhab ya miezi saba ku tisa. Hawajui maana ya upinzan ni kurupuk katu ili nao wasikik eti wametowa hoja. Waongezen adhabu hao wrny shahad za chin ya mti waliz zipat.

    ReplyDelete
  8. Mh. G.Mkuchika... Tumelipokea hili na Kuridhika nalo.. Pia ni onyo la kinadharia kwa we wao Wenye nia na Lengo la kuwapotosha wananchi na mwelekeo wa Serikali na Viongozi wetu wanao tutumikia kwa Dhati ya Roho zao kwa UADILIFU NA UAMINIFU.. Na hawa ndugu zetu wamedhihirisha ufinyu wa kuelewa naana ya Demokrasia na neno Oppstn.. wanachukulia uvutano na skendo zaa kujifanya wanajua kila kitu kumbe UMAHIRI HUO HAWANA... KIPAJI HAWANA NA HATA MWELEKEO NI SHIDA... ILI MRADI WAMO WAMO TU.. HATUA NI SAHIHI .. NA KITENGO CHAKO KATIKA BUNGE NI MUHIMU KATIKA KUDHIBITI MWENDO NA MAADILI...HAWA WASIOTAKA MAENDELEO PIA SISIS WANANCHI HATUNA HAJA NAO NA HATUWATAKI... BWANA ASIFIWE NA MUNGU AIBARIKI NCHI YETU NA ATULINDIE VIONGOZI WETU WACHAPA KAZI KATI AWAMU YETU YA TANO... HAPA NI KAZI TU

    ReplyDelete
  9. Bunge limefanya uamuzi sahihi hawa upinzani wanatuabisha nje ya nchi jamani mm naamini mwenye hoja za mana na nia nzuri na nchi yake haitaji kutumia matusi bungeni tumeshuhudia Bunge lilopita mh zitto kaja na hoja mbali mbali bungeni ambazo zimesaidia nchi lkn kwa ustaarabu bila kejeli wala matusi sio kama hawa kina tundu na mdee wakisamama bungeni tu unajua matusi na kejeli zinaanza, nawakae nje huko wamekosa hoja safari kazi kuuza sura na 2020 munakwenda kuchunga ngombe na nyinyi

    ReplyDelete
  10. Bunge limefanya uamuzi sahihi hawa upinzani wanatuabisha nje ya nchi jamani mm naamini mwenye hoja za mana na nia nzuri na nchi yake haitaji kutumia matusi bungeni tumeshuhudia Bunge lilopita mh zitto kaja na hoja mbali mbali bungeni ambazo zimesaidia nchi lkn kwa ustaarabu bila kejeli wala matusi sio kama hawa kina tundu na mdee wakisamama bungeni tu unajua matusi na kejeli zinaanza, nawakae nje huko wamekosa hoja safari kazi kuuza sura na 2020 munakwenda kuchunga ngombe na nyinyi

    ReplyDelete
  11. SAFI SANA WAKATAFUTE BUNGE LAO AMBALO WATAHARISHA HOVYOHOVYO WANAYOYATAKA KIUKWELI TULIKUWA TUMEWACHOKA SANA HAO TUNASHUKURU SANA KWA KUWAONDOA HAO WAO NI AKINA NANI KATIKA NCHI HII WANAPIGA KELELE TUUUUU HAMANA HATA CHA MSINGI WANACHOKISEMA ILI MRADI WAONEKANE WAO WANASEMA FAMILIA ZAO ZIMEWASHINDA WANATAKA KUTUDANGANYA DANGANYA ETI TUNAWATETEA WANANCHI WANAFIKI WAKUBWA HAO SASAHIVI NASISI TUMEAMKA WALIFIKILI TUTAWASAPOTI NA NYINYI WATU WA HIZI BLOG MUWE NAWAFIKISHISHIA HIZI KOMENTI HAO ILI WAJUE KWAMBA WANANCHIO TUMEWACHOKA WANAPASWA KUJIREKEBISHA NA NDIO MAANA WALIKUWA WANATAKA BUNGE LIVE KUMBE WANATAKA WAONEKANE TU VITUKO VYAO KIUKWELI TUMEWACHOKA HAO WOTE WALIOSIMAMISHWA NI HALALI KABISA HAMNA SHIDA KABISA WANAKELELE SANA HATA WANACHOZUNGUMZA AKIELEWEKI KAMA BUNGE HAWALIWEZI WAKATAFUTE KAZI NYINGINE YA KUFANYA MBONA NYINGI TU JAMANI MKOMEKABISA MKIMALIZA HIYO ADHABU SIJUI MMEKULA MAHARAGE YA WAPI NYIEEEEEEEE NFYUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU KWENDENI ZENU KULE TUMIENI AKILI

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kumbuka hawakuwakilishi wewe bali majimbo yao sasa wewe ni nani to blame them!!??

      Delete
  12. kweli kuna watu na viatu tz.......yani kuna watu sijui ni faida ya nani mpaka wanatetea uozo??Daaaaaahhhhhhh!!!!!!!Natamani kuwachana na kisha kuwatukana lkn basi tu hawajui walitendalo ni mtindio wa ubongo na fikra tu. Hapa tulipo kama sio upinzani tusingefika na hz habari za hapa kazi tu lkn watu wanatapika urojo tu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwenda kule na porojo zako wewe Anonymous 11:57 AM. Huna lolote lile. Wewe ndio hujui ni kitu gani unachozungumza. Unatuletea pumba zako hapa. Nenda kakisafishe kikwapa chako kinachotoa harufu kali.

      Delete
  13. anonymous 11:57 AM HUNA AKILI MATOPE MATUPU WEWE KANYE KAMA UMEBANWA NA MAVI

    ReplyDelete
  14. Acheni ujinga nyinyi, nani kakwambia kama kuwa mbunge wa upinzani ni kutukanana ao kulet vurug ndan ya vikao vya bunge? wabung waupinzan hawajui maana ya kuwa mpinzan. Jeng hoja yak vizur na usimam naheshim yak mwenyew nayawal watakao kusikiliz. Sem kwa upole, kwa heshima. Bil kumtus mtu yeyot ao kufoka. Fany kivy nawakat wakuuliz maswal. Ukifany hivy utakua umejijengea sif tel naheshim. Matus, vurug, kufok havisaidii kitu. Usifikirie hata siku mmoja et ukimtus mtu ao kulet vurug vitakusaidia hapana. Naish ulaya jaman hautaonag mzungu anatus ao anaketa vurug ao kutoa hoja na hasira. Atasem na heshim na kila mtu atamusikiliza. Hata watoto wao ni hivyo. So upinzan Tz umeanguk ndan ya mteg wa CCM.

    ReplyDelete

Top Post Ad