Exclusive Video : Wema Sepetu Ajitabiria Kifo, Mskie Mwenyewe Hapa..

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Watu wengi hupenda mafanikio au wengi hupenda kua maarufu, mfano mzuri ni mwanadada Wema Sepetu. Ni mmoja wa waigizaji wa kike wachache wenye mashabiki wengi zaidi. Na katika hilo amefungua miradi mingi ikitumia jina lake mfano ni ile TV Show yake ya Wema In My Shoes, Lipstick za Kiss By Wema Sepetu na mwisho kabisa ni Wema Sepetu Application ambayo ameianzisha hata wiki haijaisha.

Pamoja na watu wengi kuona mambo yanamnyookea star huyo, Wema Sepetu amekua na mawazo yakimsumbua sana kichwani. Kwani siku za karibuni amekua akiota kua siku yake ya kufa imekaribia. Mara nyingi ameota kua kafa na kazikwa.

Tumebahatika kupata video Exclusive ya Wema Sepetu akielezea ndoto hizo. Unaweza mskiliza hapa chini......

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Bora ufe watu wapumzike. Unaboaaaaa

    ReplyDelete
  2. Ndoto yako inaashiria unakaribia kufunga ndoa baby

    ReplyDelete
  3. Upumbavu mtupuuuu....

    ReplyDelete
  4. Atake astake. Kishafulia. Feki feki feki.

    ReplyDelete
  5. Wema umezidi
    Waafrica hatuna mila hizo
    Mtoto wa kike
    Haya sema hapa tusikie

    ReplyDelete

Top Post Ad