Hiki Ndicho Alichokisema Wema Sepetu Kama Anamchukia Diamond

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Sasa tangu mastaa wawili wakubwa hapa bongo, Wema na Diamond Platnumz watemane. Na kila mmoja kwa sasa kaendelea na maisha yake, kwa Diamond Platnumz akiwa na mtoto mmoja huku kwa upande wa Wema akiwa na Boyfriend wake mpya Idris.

Watu wengi wamekua na wamekua wakijiuliza je wanachukiana??? Sasa Wema Sepetu ameamua kuvunja ukimwa na kujibu kama anamchukia Diamond Platnumz au la! Mskie hapa Wema Sepetu akijibu swali hilo

Tazama Video:

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huyo mtoto ana maisha ya kuigiza kumamake, msenge kweli huyu

    ReplyDelete
  2. pole wema una maadui wengi sana, usio wajua na unao wajua!

    ReplyDelete
  3. Sema humchukii. Imba nyimbo zake. Fanya ufanyalo hakurudii ng'oooo. Na mitako yako feki. Mfyuuu

    ReplyDelete

Top Post Ad