Sauti ya Mke wa Waziri Mahiga na Traffic Police Aliyetakiwa Kupandishwa Cheo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mke wa waziri anayesemwa kuzozana na Askari wa Usalama Barabarani ni mke wa Balozi Augustine Mahiga,Waziri wa Mashauliano ya Kigeni wa Tz.

Ukisikiliza hii audio,ni mazungumzo kati ya Mke wa Waziri Mahiga,Askari wa usalama barabarani na boss wa Askari huyo!Unaweza kusikiliza na kupata picha ya mazungumzo kati ya huyo Mama na Traffic..

Sikiliza Hapa:

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huyo Mama anavyoongea ni mwenye dharau na kejeli za hali ya juu sana. Hicho kisingizio cha kuwa ameendesha magari kwenye Nchi za watu sio kweli na hata kama ni kweli hakuna kitu kama kuwadharau maaskari wa barabarani au kuwatukana. Sasa hilo kimsingi ni jipu lingine.

    ReplyDelete
  2. HUYO MAMA ANALETA MBWEMBWE KISA MKE WA WAZIRI BIG UP WEWE ASKARI UMEFANYA JAMBO LA MAANA ANADHARAU KWANZA MUONE ANAVYO CHEKA AMEENDESHA SANA NJE YA NCHI,,, SO WHAT????MASKARI WOTE BONGO WANGEKUWA KAM WEWE AFANDE MWITA MBONA HATA JANUARY MAKAMBA ASINGE VUNJA SHERIA,,,,MAANA NAYEYE ANA CEZA ROUGH SANA BARABARANI,,,HUREEEEE HAPA KAZI TUUUUU

    ReplyDelete
  3. Safi sana,sheria ifuatwe na watu wote.

    ReplyDelete
  4. mmeona mmepata wa kumuonea na nyinyi mkaona mrekodi sauti ya mama wa watu,.mbona magari mengi tu huwa yana simama zebra., kweli huu utawala kila mtu anatafuta kicki

    ReplyDelete
    Replies
    1. bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi !!!!!!!!!!

      Delete
  5. Mama Ni mke WA waziri, pata picha angekua hata mkuu WA wilaya sijui ingekuaje

    ReplyDelete
  6. HakyaMUNGU sijaona alipotukana mbona anaongea kistaarabu tu. mmemwonea tu mama wa watu.

    ReplyDelete
  7. mama ameomba sana msamaha from the begining hajaonesha dharau yoyote basi tu dam ya kunguni mama wa watu mstaarabu kama nini

    ReplyDelete
  8. Mmmmh.......Saaafi

    ReplyDelete
  9. Wamemuonea tu wamepata mnyonge wao.,kaomba msamaha sana na kakubali kulipa fine...magu umefeliiii

    ReplyDelete
  10. Angalau miungu watu watapungua au kwisha kabisa....

    ReplyDelete
  11. SAFI SANA TRAFIK

    ReplyDelete

Top Post Ad