Video : Hili Ndilo Jumba la Idris Sultan Analokaa Licheki ndani na nje

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wiki chache zilizopita kupitia kituo kimoja cha Tv huko nchini Kenya Idris Sultan alikiri kua kuna kipindi alifulia kabisa akawa anakosa hata hela ya matumizi. Watu wengi baada ya kuona vile walijiuliza maswali mengi je zile milioni 500 zake alipeleka wapi???

Nusu ya jibu ya swali hilo limepatikana, ukweli ni kwamba Idris anamiliki nyumba ya ghorofa ya kifahari kabisa na kwa jinsi inavyoonekana bei yake haipungui chini ya milioni 200. Hii inatokana na inavyoonekana na eneo linalozunguka nyumba hiyo kama inavyoonekana katika video hii hapa chini.

Tazama Video Hapa Chini:

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kweli wamekutana ya mimba hajaesha wishazuwa jipya
    Filamu za bure bureshi

    ReplyDelete
  2. Dogo anatumia nguvu nyingi kutaka kuonekana kuwa bado yuko relevant.Ukijitambulisha kwa pesa,sk pesa ikikata u r done!

    ReplyDelete
  3. mimi sipendi watu wanavyosema thank you kila mara inaboa sana kama mnarekodi msiongee na watu wa instagram huku mnarekodi, du inaboa vibaya sana du!

    ReplyDelete

Top Post Ad