Video : Idriss Alimfanyia Wema Sepetu Haya, Mara Baada ya Kusikia Wema Sepetu Katukanwa na Harmonize

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya kusambaa kwa video ya Harmonize akimsema vibaya Wema Sepetu, watu wengi walilaani kitendo hicho huku kuna baadhi yao wakimpongeza Harmonize. Habari kutoka kwa marafiki wa karibu wa Wema Sepetu zinasema kua aliumia sana alipoiona video hiyo kwa mara ya kwanza.

Wengi walitaka kujua Idriss alipokeaje swala hilo, basi hii ni Exclusive kutoka kwa Wema akielezea kitu alichofanyiwa na Idriss na kumtia moyo katika kipindi hicho kigumu. Wema alimshukuru sana Idriss kwa wema wake,

Unaweza tazama video ya alichokisema Wema Hapa....
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. wema wala usijali allah atakupa mtoto wa khery baby is not everything

    ReplyDelete
  2. Maigizooooooooooooooooooooooooooooo dah aiseee!!!

    ReplyDelete
  3. Jamani pigeni kazi za nguvu na zinazoonekana na sio kukalia maisha ya kuigiza dah kaazi kwelikweli.

    ReplyDelete

Top Post Ad