Video : Lulu Afunguka Kama Alimwibia Hamisa Mobeto Mchumba Wake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Lulu na Majay ni couple ya watu wawili maarufu hapa Bongo, ilianza kama tetesi mwanzoni ila Lulu akaja kufunguka mwenyewe kua wao ni wapenzi. Ila ikumbukwe kua Majay kabla ya kua na Lulu alikua na uhusiano wa Kimapenzi na Hamisa Mobeto. Hadi kupelekea kupata mtoto wa kike.

Habari zilizozagaa mtaani ni kua Lulu alimwiba Majay kwa Hamisa Mobetto. Ila kwa kipindi kilefu Lulu alikua hajasema lolote kuhusiana na hilo. Hatimae lulu kafunguka ukweli kuhusiana na yeye kumwibia bwana Hamisa, mskilize hapa chini .....
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kesi yake vipi?

    ReplyDelete
  2. mbona Hamisa ni mrembo yaani ni mrembo sana kumpita Lulu au Lulu katumia uchwawi kumpora bwana wa Hamisa? yaani Lulu hupendezi hata kidogo kumpita Hamisa, yeye Hamisa ni mrembo yaani ni mrembo sana ukimuona Hamisa na Lulu unasema Lulu ndiyo mzee akia Mungu tazama picha tu utaona

    ReplyDelete

Top Post Ad