Video : Wema na Petitman Watakua na Bifu Kubwa Sana, Msikie Wema Sepetu Hapa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ni kwa zaidi ya miaka minne Wema Sepetu na Petit Man walikua marafiki. Kwani walionekana pamoja katika kila jambo hata pale Wema alipoamua kugombea ubunge viti maalum kupitia Chama Cha Mapinduzi Petit alijitokeza na kua nae Bega kwa Bega.

Siku za karibuni kulikuepo na tetesi kua kuna ugomvi mkubwa kati ya Wema Sepetu na Petit huku chanzo kikiwa hakijulikani. Ikafikia hadi Mirror, msanii aliekua chini ya Petit Man kutangaza kua kwa sasa Petit si meneja wake tena na kwa sasa Mirror yupo Benet sana na Wema.

Baada ya mashabiki kumuuliza Wema kuhusu ishu ya Petit Wema alikua mkali na kuongea maneno mengi ambayo ukiyasikiliza utagundua kua wawili hawa sasa hawapikiki chungu kimoja. Mtizame Wema akifunguka hapa chini....
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ili kweli malaya linajifanya alijui kiswahili nyoooo viguu vembambaaaa kama chemri

    ReplyDelete
  2. Linajifanya halijui kiswahili wakati limezaliwa na kukulia bongo tena uswazi tu. Limama lake zanga tu. Sema siku hizi malaya wengi wanajifanya kiswahili kina wapa tabu. Kama yule murder wa Kanumba. Kila akisema maneno mawili utamsikia "you understand". Ptuu. Wauza nyapu

    ReplyDelete

Top Post Ad