Wema adai kwa wiki anatumia Tsh milioni 1.2 kwa ajili ya nywele zake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msanii wa filamu, Wema Sepetu, ameweka wazi kwamba hutumia shilingi milioni 1.2 kwa ajili ya kutengeneza nywele zake kwa wiki moja.

Pia hutumia Sh 30,000 ya chakula kwa siku na kama atanunua na chakula cha mbwa wake huwa anatumia Sh 50,000 kwa siku.

Wema aliliambia gazeti la Mtanzania kwamba si kila wakati hutumia kiasi hicho cha fedha, bali hutegemeana na aina ya nywele anazotengeneza.

Alifafanua zaidi kwamba gharama hizo pia zinatokana na kutumia ‘weaving original’ lakini wakati mwingine hutumia hadi laki moja na nusu kwa nywele za kawaida kama rasta.

“Huwa nabadilisha nywele kila baada ya wiki ambapo siku nyingine natumia milioni moja, siku nyingine laki saba au tano kwa sababu sipendi kukaa na nywele muda mrefu na nywele zangu ni ‘orijino’,” alisema.

Wema aliongeza kwamba anachopenda zaidi kwake ni kuwa na muonekano mzuri wa urembo kwa kuwa urembo upo kwenye damu yake

Source:Mtanzania
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. sasa mbona ameshindwa kulikomboa gari, muongo mkumba wewe Wema unapewa mawigi ya matangazo na nguo za matangazo kama Lulu hulipii kitu chochote kwenda zako huko huko

    ReplyDelete
  2. Ungeiba stima kama kweli ur using cash like dat huna jipya grow up

    ReplyDelete
  3. Wema mwanangu!! Haya ya kuuzungumza?? Uko sawa sawa !! Muashirio wako si mzuri ..Jiangalie na unapozungumza jipime kwanza...Dodoma siyo mbali..Karibu

    ReplyDelete
  4. unatia aibu staa mzima unafukuzwa kwenye nyumba za kupanga.kwa nini usijenge nyumba Yako ngombe wewe.hivi watu wasingidani ziro brain? ndio maana wengi mahouse girl!!!!

    ReplyDelete
  5. Antony at 9.40 sio Hakim kudharau watu wa Singida. Wema ana matatizo anahitaji msaada. Sio mwakilishi wa tabia ya wwk as Singida.

    ReplyDelete
  6. Na bado tutayashuhudia mengi sana

    ReplyDelete
  7. Pumbavu wewe kila kukicha hukosi kwenye magazeti kujionyesha ungekuwa unahela usige iba maji na umeme paka pusi wewe kila kukicha kubadili nyumba za kupanga bweha wewe Kama unapesa si ungejenga yako fara wewe yooooooo

    ReplyDelete
  8. Pumbavu paka pusi una akili kila siku skendo kwenye magazeti unashindwa kujiheshimu bweha wewe ungekuwa unapesa usngekuwa unaiba umeme na maji si ungejenga nyumba yako kila siku unabadili nyumba Kama unavyo badilisha wanaume fara wewe eti unapesa si ungekuwa na nyumba yako uwoni wenye pesa ukisema wewe una pesa na mtoto mzuri zari asemeji paka pusssssss

    ReplyDelete
  9. Pumbavu paka pusi una akili kila siku skendo kwenye magazeti unashindwa kujiheshimu bweha wewe ungekuwa unapesa usngekuwa unaiba umeme na maji si ungejenga nyumba yako kila siku unabadili nyumba Kama unavyo badilisha wanaume fara wewe eti unapesa si ungekuwa na nyumba yako uwoni wenye pesa ukisema wewe una pesa na mtoto mzuri zari asemeji paka pusssssss

    ReplyDelete
  10. Hahaha. Eti 1.2ml kwa nywele..wakati ulitimiwa kwenye nyumba kwa kuiba luku. Range imepigwa mnada maana huna hela za ushuru. Hata hicho kitoto chako cha kufikia hakina kitu full kufilisika. Mishipa ya uc*i inakusimama kwa kutaka kujifananisha na Kim Kardashian. Waume za watu siku hizi wanakuogopa kama ukoma. Umebaki na kubwa jinga kujifagilia. Chezea laana za wake na wapenzi wa watu ww.

    ReplyDelete
  11. Yani hawa mastaaa uchwara wa Bongo bwana. Maigizo meeeeengiiiii duh!!

    ReplyDelete
  12. Mh hizo nywele za milion ni za dizain gani kekuu...huu usanii shughuli

    ReplyDelete
  13. Labda walioandika hii mada waongo. Nywele gani ghali namna hiyo.

    ReplyDelete

Top Post Ad