AUDIO: Wananchi Wamempeleka Polisi Mama wa Mtoto Kisa Mtoto ni Mwarabu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

June 20 2016  Geah Habib kupitia Hekaheka ya Clouds FM  ametuletea Hekaheka kutokea Buguruni Dar es salam ambapo mama amepelekwa polisi na wananchi kisa mtoto anayedaiwa kuwa ni wa kwake ni mwarabu.

Mama alifika maeneo hayo nyakati za usiku na watu wakawa na mashaka naye wakamwambia aende kwa mjumbe……..

’Shida yake yeye ni kwamba anamuhitaji ndugu yake alikuwa bungoni lakini alipofika alikuwa ameshahama na kuna ndugu zake wengine akaomba kulala kwa sababu hawezi kufika mbezi kwa usiku huo, nikamwambia twende kituo cha polisi hapo zogo ndio likaanza’:-Mjumbe

kwa nini mnakuwa washamba hapa Dar es salaam hamna watu waliozaa na wahindi au waarabu mpaka mnakuja kunishangaa mimi, hapa nishaadhalilishwa sana kwa hiyo twende polisi nikamshtaki aliyenidhalilisha‘:-Mama wa mtoto

Unaweza kusikiliza kwa kubonyeza play hapa chini:

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Heee hichi nacho kituko. Kwani huyu mama sio binadam mpaka asipate mimba ya mwarabu.mzungu,muhindi. Kwa hiyo mpka awe mwafrica mweusi tu ndio wataona wakwake. Heee mwanamume yeyote yule lijali kati ya hayo makabila akifanya uzinzi tu mwanamke hata kwa kubaka matokeo yake yaweza kuwa ndio kiumbe kipya kingine. Ndio mwezi mungu alivyotuumba

    ReplyDelete

Top Post Ad