Haya Hapa Maneno Makali ya Diamond Platnumz Kuhusu Ujio wa Wimbo Wake Mpya Baada ya Kukosa Tuzo ya BET

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kwenye mashindano lazima patakuwa na mshindi wa pili na watatu na kukubali kuanguka ni kawaida, ila kuamka  baada ya kuanduka ndio kazi yenyewe ambayo kwa sasa Diamond anafanya kwa  kutoa kazi ambayo yeye anaimani ni bora zaidi baada ya kupoteza tuzo ya BET kwa msanii Black Coffee wa Afrika Kusini.

Haya maneno ya Diamond kuhusu wimbo wake mpya aliyoandika Twitter:
"Haya Ongeeni Vizuri na waganga wenu Baada ya siku nne simba Anaachia ile Mashine"
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Tutoleeee uvundo hapa umepanic vbya ushakosa kaa kimya....uendewe kwa waganga we nani wakati we mwenyewe mchawiii

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kabisaaaa yeye mwenyewe mchawi kupindukiaa mpumbavu sana huyu Diamond anaamini uchawi ndo kila kitu poleee jipange upyaaa!!!!tutashtuka Kama utatoa nyimbo ya peke yako bila kubebwa na Psauare...unatafuta kiki ya kutoka ndo maana unafanya colabo na wanamuziki wakubwa sauti yenyewe ya mchirikuu !!!simama mwenyewe bila kubebwa na mtu Kama Alikiba Aje...tulinganishe sautiii nyoookooo uchawi wa ngamia vepeeee!!!???umefanya makafara na Tuzo umekosa aibuuuu...

      Delete
    2. wewe ndo uvundo, tena wa uhalo

      Delete
  2. Simba acha kujishtukia na kuleta mifakarano jaribu kudumisha umoja unakuwa kama shi shi baby,wewe mtoto wa kiume

    ReplyDelete
  3. Simba acha kujishtukia na kuleta mifakarano jaribu kudumisha umoja unakuwa kama shi shi baby,wewe mtoto wa kiume bhana.

    ReplyDelete
  4. mfamaji huyooo! kakosa hana jipa povu linamtoka anaona haya. DOMO

    ReplyDelete
  5. ALIJIONA HAKUNA KAMA YEYE, MUNGU KAMUONYESHA UWEZO WAKE. KABAKIA KUTAPATAPA KAMA MBUZI WA HITAMA.

    ReplyDelete
  6. Ndio mwanzo wa
    kuugua dogo,Maneno ya kiswahili
    ya nini?kwani ulipangiwa wewe tu kila tuzo upate?

    ReplyDelete
  7. Hukosei sio hukoseigi msituharibie kiswahili chetu

    ReplyDelete
  8. HASIYE KUBALI KUSHINDWA SI MASHINDANI wahenga walinena sasa jaribu kutilia na kujipanga upya kimuziki dogo hizo bla bla hazitokusaidia kamwe au ulifikiri kuishi maisha kama mwanamuziki ni lele mama nini dogo,YOU HAVE TO LIVE AND LEARN DOGO wish u all the best

    ReplyDelete
  9. ukuabali kushindwa kwani sio kila siku jumatatu kwa hivo keep this in your mind kujiona na kudharau wenzako usidhani utakuwa na maendeleo learn through your mistake ufahari haufai kumbuka ulikotoka walikuinua hadi ukafika ulipofika una kaa ukitakana watu na mafumbo ya kijinga kuwa mwanaume dont be like shilole kubwata bwata

    ReplyDelete
  10. DONE BLEW YOU SHIT HOME BOY THAT'S WHAT LIFE'S ALL'BOUT JOE!EVEN THERE WAS A TIME THE KING OF POP(LATE)MICHAEL JACKSON DROPPED DOWN AFTER SO MANY MANY YEARS OF BEING ON THE TOP SO WHATTA'BOUT YOU JOE?YOU HAVE TO LEARN THAT IN LIFE THERE ARE TWO SIDES IE.YES OR NO"THIS TIME YOU GOT"NO"SO YOU GOTTA LIVE WITH IT WORK HARD AND MAYBE NEXT TIME YOU GONNA MAKE IT JOE AS I SAID THAT'S WHAT LIFE'S ALL'BOUT JOE!UP&DOWN SO DON'T YOU BUCKLE&STUMBLE TAKE IT COOL&CALM JOE

    ReplyDelete

Top Post Ad