Joyce Kiria ‘Superwoman’ wa Wanawake Live Apata Ajali

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mtangazaji wa TV, Joyce Kiria pamoja na crew ya kipindi chake, Wanawake Live, wamepata ajali wakati wakielekea mjini Sumbawanga, Rukwa.

“Juzi jtano tulianza safari ya kuja Sumbawanga toka kwa lengo la kumtembelea Wankota Binti Shujaa asiekata Tamaa kirahisi wala asieogopa changamoto, na pia ilikuwa tukitoka kwa Wankota, ni safari ya kwenda Mbeya kufanya kampeni ya Mwanamke Piga Kazi kesho jmosi kisha ndo tugeuze kurudi dar….. Leo mapema ndo tumeingia Sumbawanga, lakini kwa bahati mbaya tumepata Ajali tukiwa kijiji cha pili toka kwa kina Wankota….yaani tulikuwa tumebakiza km 20 kati ya km1500. Tunamshukuru Mungu sana tumepona maana ndo kikubwa,”  Joyce ameandika  kwenye ukurasa wake mtandaoni.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Pole lakini mbona kama ajali ya kisanii, mpaka wamepata muda kushoot jinsi madam anavyosaidiwa kutembea

    ReplyDelete
  2. Superwoman wa Wanawake , Elimu za Tanzania hizo , unafanya mchezo na UPE nini ?

    ReplyDelete

Top Post Ad