Kilichomwangusha Chibu Dangote BET 2016 ni hiki

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ni masikitiko yangu makubwa kuikosa Tuzo hii ya kimataifa kupitia msanii wetu pekee na Brand ya Afrika mashariki.
Bila kupoteza muda
Na hizi ni sababu zilimfanya Chibu Dangote

1) Hakuwa na kazi inayoeleweka ambayo ingemfanya aongeleke au jina lake lizunguke vichwani mwa watu

2) Kumanage wasanii kwake limekua pigo kubwa maana imemfanya aache kusonga mbele akiamini amefika na ni muda wa kusaidia wengine.

3) Kukosa baraka za mzazi mwenzake mama Tiffah kutokana na usaliti aliomfanyia mwenzake.

4) Kurise up kwa Alikiba.

5) Kuridhika na mafanikio

Hivyo Chibu ajipange upya upya ili arudi kwenye mstari.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. na kweli siyo kila mara Diamond ashinde yeye tu wako wengine wengi wanaofanya kazi nzuri barani Africa pia wanastahiri hiyo tuzo na huyo dj aliyeshinda nazikubali sana kazi zake pia na marekani wanamkubali vibaya mno

    ReplyDelete
  2. To Tanzanians Diamond is a winner. Acha kutunga sababu wee mwandishi.

    ReplyDelete
  3. MDAU SABABU ZAKO TANO HAZINA MASHIKO.

    ReplyDelete
  4. ulikuwa ni ushindani ambao awshiriki wote walikuwa wakali na yeyote angeweza kushinda. Tusimlaumu Diamond wala yeye Diamond asimlaumu mtu.

    ReplyDelete
  5. tena huyo mwandishi hana akili, maana hata huyo wa naigeria uliyekuwa unampigia chapuo kakosa itakuwa mond? kuna siku atapata acha na wengine wapate

    ReplyDelete
  6. Diamond is empty no tuzo mwaka huu

    ReplyDelete
  7. may be to you diamond is a wi ner and if he is really simba he could've reach very far but nòooooooop he is just like any other muimbaji majisifu mingi na kujiona kafika alipohapo ustaraabu hana unajua kutukosoma kunachangia so jirekibishe

    ReplyDelete
  8. Mtupe na sababu za wizkid na Aka pia na wengine wote,pia ni bor ye analaana kafika hapo Ali kiba ndio bora mbona hata hawi nominated au hao walio juu mbona hawapati Mituzo hiyo.na mara kusaidia vijana wenzake ndio limekuwa anguko lake

    ReplyDelete
  9. HII NDIO TANZANIA KILA JEMA NI BAYA HASA KWENYE MAFANIKIO EEH MUNGU WETU TUEPUSHE NA LAANA YA KUCHUKIA VIZURI VYETU.

    ReplyDelete
  10. Diamond nyodo sijawahi kuona mtu anakoza tuzo watu wanafurahi namna hii huyu jamaa anguko linavuja asipojirekebisha walifulia wakina 50cent na mahela kibao achunge mdogo uliponza kichwa

    ReplyDelete
  11. Hao wanaoingea utumbo Wana tuzo gani tangu walioliingia duniani humu Au kuchonga tu ya wenzao Kijana kajitahidi sana mpaka hapo alipokita si kazi rahisi kuchaguliwa Kwa mwanamziki kufika hapo kajitahidi sana tumpe big up next time wabongo kazi yenu Ni majungu, fitina, Na longolongo ,tu basi

    ReplyDelete

Top Post Ad