MBUNGE Mh. Anatropia Amjibu Mh. Godluck wa Ulanga Kuhusu Kumvua Kofia

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Akizungumza na EATV kuhusu tuhuma hizo Mbunge Anatropia amesema ''Nilikuwa natembea haraka kwenda kwenye kikao na kofia yake iliguswa na mkono kwa kusukumana na kuokotwa na ndiyo maana alivyotoka binafsi nilimsaidia kutafuta aliyeiokota''.

Aidha Mbunge huyo amesema kwamba bado wanazidi kuwasiliana ili kujua mtu aliyeiokota na baraghashia hiyo na kuondoka nayo.....
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Yaani kuna kitu kidogo sana ila binadamu tunashindwa kukielewa.Anatropia,kama una uhakika uligusa kofia kwa mkono wako na ikaanguka ulitakiwa uanze na neno SAMAHANI hata kama ulimsaidia kutafuta hiyo kofia.Kwa neno samahani sidhani kama Goodluck angekereka hivyo badala yake kaona kama umefanya kusudi na kuzua hayo yote,Ni jambo dogo sana lakini kwa kuwa kuna walakini basi linakuzwa utafikiri kuna aliyeumizwa.Tukiwa kwenye nyumba za ibada kila mara tunaiombea TANZANIA,na Mungu yuko pamoja nasi,yote yataisha na kuwa shwari.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kweli kabisa mdau,hasa hapo kuna kubwa gani lisiloweza kwisha mpaka mjadala tena kama sio mambo ya siasa?Eti watu hawasaliani kisa U-CCM na UKAWA.Mungu wetu tusaidie,peke yetu hatuwezi.

      Delete
  2. Nyege zake tu huyo mbunge anatafuta kiki wakati wanazi kiki kibao kofia ya mtu ina muhusu nini kama anamtamani si angemfuata nje ya bunge,,,,Hakuna wabunge mwaka huu wote comedian kama wakina Jot na masanja acha muvi iiendeleee.

    ReplyDelete
  3. any.1058,yaani ukiangalia ni kama jambo la kitoto,lakini kwa sababu mmoja anatoka CCM na mwingine UKAWA imekuwa jambo kubwa.

    ReplyDelete
  4. Basi Si unamjua Millinga!! Huu mwezi WA Toba..kwa hiyo tunakusamehe Na ikipatikana kofia itabidi mtujulishe katika mazingira gani? Na mama Glory atataka kuombea Radhi fanya hivyo manake Na yeye Yuko dodoma

    ReplyDelete
  5. Kanzu avae kafiri fyuuuu
    Na govi lake
    Ana nini huyo teja mbunge teja
    Hata usiombe msamaha dada yangu
    Ktk wanaume naye mwanaume huyo
    Umtake kwa lipi ana nini huko chini
    Ufunguo wa posta

    ReplyDelete
    Replies
    1. UWIII JAMANI MBAVU ZANGU! UMENICHEKESHA SANA NA HUO UFUNGUO WA POSTA. TOOOOOOOBAAAAAA

      Delete
    2. Asante
      Unajuwa wanaume wamezoea kutunyanyasa wanawake
      Michambo naijuwa
      Kama anaybavu anijibu Hilo teja teja naye bwana fyuuuuuu

      Delete
  6. Sasa si unajua Posho huku haiingii na huku kwingine inaingia . Hii yote ni kupeana tafu.. au vipi .. Movii inafikia half time part ya pili itakuja na stelingi hajakufa amejeruhiwa tuu,,, angalia kivumbia atakacho ingia nacho akirudi,, Stay tuned.. Sema siyo laivu.

    ReplyDelete
  7. Dada Anna, Hicho kikao kilikuwa kikao gani? si nasikia huwa mnatoka Bungeni au ?
    h
    Halafu kofia ilikuwa Kichwa naua mfukoni? Manake sijui baina yenu nyinyi wawili nani Mrefu kuliko mwenzake.. Hebu pigeni picha ya pamoja na msimame wima ili tuweze kujua bila kuambiwa ilikuwaje kuwaje. Picha itajieleza halafu mengine yatafata. Pole Dada na pole Mlinga... Barida Mwanangu.

    ReplyDelete
  8. this bunge is very funny sijawahi ona bungeni wabunge wanaongea uupuzi kama huu kweli nyie ni wabunge au ......

    ReplyDelete
  9. Kanda ya CCTV imethibitisha kuwa huyo mwanamke aliivua kofia na kuondoka nayo. Kwa hiyo anadanganya anavyosema kuwa mkono wake uliigusa kofia na ikaanguka. Ni aibu kwa mbunge kusema uongo kama huo

    ReplyDelete

Top Post Ad