Mchezo wa Yanga vs TP Mazembe June 28 2016, kiingilio ni bure

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Jumamosi ya June 25 2016 mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa klabu ya Dar es Salaam Young Africans Jerry Muro alitangaza viingilio vya mechi yao ya Kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya TP Mazembe itakuwa na kiingilio kati ya Tsh 7000 hadi 30000.

Taarifa zilizotoka June 26 kuelekea mchezo huo wa pili wa Kundi A lenye timu za MO Bejaia ya Algeria, TP Mazembe, Medeama ya Ghana na Yanga, uongozi wa klabu ya Yanga wametangaza kuwa mechi yao wameamua mashabiki waingie bure ili waweze kuishangilia timu yao.

Maamuzi hayo ya Yanga,  wadau na mashabiki wa soka wanatafsiri kama ni maamuzi ya hasira na yanatajwa kuja kutokana na TFF imewakosea kuingia mkataba na Azam TV wa kurusha mechi hiyo live pasipo wao kushirikishwa, wakati wao wanaamini kuwa mechi hiyo ikioneshwa Dar es Salaam watakosa mapato.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hiyo Ndo YOUNG AFRICANS Taifa Kubwa!

    ReplyDelete

Top Post Ad