Msinifananishe na Mal*ya Ambao Hawajawahi Kwenda Labour Kujifungua – Zari

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nani amemchokoza Zari? Kwasababu kwa kile alichokipost kwenye mtandao wa Snapchat inaonekana ameguswa pabaya na amemind!

Najua unajiuliza kwanini hajapost Instagram – ni kwasababu kwa alichokiandika, povu lake lingekuwa la haja! Snapchat ya kishua, mastaa wako huru kusema chochote na hakuna povu kama mitandao mingine. Amesema nini?

“Na wengine acheni kunifananisha na mal*ya ambao hawajawahi kwenda labour,” aliandika. “Mtoto mmoja tu kwenye labour na watakaonekana kama tikiti maji lililopasuliwa. Acheni!”

“Nikiwa na miaka 35 na watoto wanne, badi mimi ni mrembo mno kunifananisha, naomba.”

Tazama kwa picha alichokiandika:

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

36 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hasira za kukosa tuzo hizo, bi kizee anahaha ajipaishe. zaa tuu mama washakujua unapenda pesa za wanaume na wewe ni malaya zaidi ya hao wajaenda leba.

    ReplyDelete
  2. granny hajawahi kuolewa so umalaya alokuwa nao ni zaidi ya wasokwenda leba.

    ReplyDelete
  3. kaona issue kwenda leba? hata paka anazaa. mwanaharamu huyu peleka matende yako huko.

    ReplyDelete
  4. bado anaumia kwa Wema, hampati hata akijirudisha miaka 10 nyuma. bi kizee wa ug wacha hasira panua tuu huku Domo anachepuka na dogodogo.

    ReplyDelete
  5. kati ya Wema na wewe Zaituni nani malaya. lol umekwenda leba mpaka madocta wanakukimbia watoto wenyewe vikaragosi, povu la kukosa tuzo ya Bet hiyoo. rudini mkachukue pesa kwa mganga wenu hamna jipya.

    ReplyDelete
    Replies
    1. WEWE HAPO JUU NI MTU MMOJA UNACOMMENT KURASA NZIMA ? KHA KAZI UNAYO

      Delete
  6. grammar ni kafiri wa kupindukia hata mwezi huu anaita wenzie Malaya? yeye aliolewa lini na kuzaa watoto kama chipanzii.

    ReplyDelete
  7. Kuzaa si kupata
    Kabla hujafa hujaumbika
    Si vizuri kukashifu wanawake wenzio
    Kwa kuzaa
    Wanawake wazaa hata ukiwa na miaka 50
    Gombeeni wanaume lakini si vizuri kukashifiana kisa uzazi
    Na utu uzima haukimbiliki kila mtu unamkuta

    ReplyDelete
    Replies
    1. We hujielewi, we kizee unarudisha miaka nyuma eti 35, we tena ungekaa kimya kabisa nani malaya kati hao wasiongia labour nawewe unaezaa hovyo bila ndoa, we zaa tu hadi waishe huko tumboni nyau we

      Delete
  8. mbumbavu mkubwa wewe alie kupa wewe ni nani hadi ukaenda kwenye labour. ni Mungu na alie myima hao unaowaita hoes ni mungu unamtia mungu kwenye makosa mjinga mkubwa wewe uliolewa lini? ulijua kubadili dini moto unakungojea kesho wewe una miaka 45 sio 35 na usikufuru mungu anaweza kuwachukua hao unaringa nao na wewe ukawa kama hao unaowasema hajakwenda labour chunga ulimi wako mjinga wewe hujafunzwa kwenu utafundishwa na ulimwengu rubish wewe eti nikuulize una uzuri gani nu huo weupe unao kuzuzua na hela za ivan

    ReplyDelete
  9. mbona bibi unavuka mpaka wa mungu wewe aliekupa watoto ni nani si ni mungu na alie wanyima wenzako ni mungu usikufuru bibi hujafa hujaumbika kaa huku huku kwenu mjinga mzee mzima huna haya wewe wewe

    ReplyDelete
  10. Jibibi zima hovyooòooo.....hasira zenu na badooooo maninaaaaa mwaka huu mtasugua lami na tako wapi tuzoooo....kuzaa sio tija bibi we panya mwenyewe anazaa

    ReplyDelete
  11. Ukubwa c kuzaa hali hekima. Zari haina hekima. Mpuuzi na sifa zote mbaya unazo wewe. Wema kifaa hâta ukisimama naye humfikii walikuwepo wengi kabla yako. Pia Hadi miaka warudisha nyuma looooo umesahau umri wako jaman. Pole bibi kizee mweee.

    ReplyDelete
  12. bi mavuzi ana 45. kajirudisha hahaaaaaaaaaaa. sasa analizimisha watu wamuone mzuri na yale makunyanzi anayopaka kila aina ya rangi asionekane mzee. kubwa jinga.

    ReplyDelete
  13. MMEZIDI KUMSAKAMA HALAFU HUWA HAMTAKI AJIBU. MNAMCHOKOZA ILI MUMTUKANE HAYA TUKANENI ILI HASIRA ZENU ZIISHE WATU NA VIJEBA VYENU VYA ROHO MTAKUFA NAVYO. KWANI UONGO? KIMEWAUMA EEH? NI KWELI MNAONEKANA WAZEE KULIKO YEYE.

    ReplyDelete
  14. Tatizo huwa hamtegemei Zari ajibu. mnatakaga mumseme weeee akijibu moja kwa mwaka mnaanza kupaniki. Alichowaambia ni ukweli mara nyingi mnajilinganisha nae. ukitaka ulinganifu halali jilinganishe na wenzenu wasiozaa. kwa Zari kuwa na watoto na kubaki alivyo ni rekodi. Hamjioni mlivyo na mavitambi na nyuso zimekunjana hata miaka 30 hamjafika?

    ReplyDelete
  15. anauzuri gani komwe kama funiko la choo. mdanganye dai na family yake ajuza mzinifu.

    ReplyDelete
  16. Mhh kweli mapovu lazima yawatoke manake ukweli unauma. Na ukweli ni kwamba nyie mnaojifanya wazuri sana kuliko yeye ni kwamba mnaonekana wazee sanaaaaa na hapo hamjazaaa hata mtoto mmoja. kwa kweli myonge mnyongeni ila haki yake mpeni. Kwa umri wa Zari na urembo alionao ukiwa hujui kama ana watoto utafikiri hajazaa. kazi kwenu take it or leave it.

    ReplyDelete
  17. Mtaishia kuita bibi lakini mioyo inawaumaaaaaaaaa sanaaaaaaaaaaaa. mkimwangalia anawarusha roho. Kwa uzuri amewapita wengiiiiiiiiiiiiimnaojiita mabinti. poleni ndio dunia

    ReplyDelete
  18. Huyo hapo juu ni mtu mmmoja kaamua kusakama Zari leo. Kwani hatuna macho? ni kweli ni mzuri na anaonekana kijana kuliko wengi wenu mnaojifanya wadada. pyuuuuuuuu tatizo mnaendekeza mapombe yanaharibu mwili. poleni naona kimwewatouch mnatokwa mapovu tuuuu.

    ReplyDelete
  19. Eti bibi, nyie mabibi hamuwajui? chuki za nini? ndio hivyo Mungu kampa kila mtu atakavyo. na yeye kajaaliwa uzuri basi tukubali tuuu. ukimwita bibi kikongwe au ajuza hilo ni shauri yako. unaonyesha ulivyo na wivu.

    ReplyDelete
  20. Kha!watu bwana hivi ukimleta bibi yako hapo utamfananisha na hata mama yake Zari? hebu kuweni wa kweli. bibi zenu hata nje hawatoki wanatisha.

    ReplyDelete
  21. Zari hajazungumzia habari za ugumba hapa. Tatizo ni lugha. kasema msimfananishe na watu ambao hawajaenda labor kwa sababu mtakuwa mnamuonea. wangojeni wazae na wao watoto wanne ndio mumlinganishe nao sasa kakosea nini?

    ReplyDelete
  22. Mnatafutaga sababu ya kulaumu. sasa kasema wsio na watoto au kasema mumlinganishe na watu wenye watoto kama yeye? watu kubadilishaga maneno bwana!

    ReplyDelete
  23. Kha!watu bwana hivi ukimleta bibi yako hapo utamfananisha na hata mama yake Zari? hebu kuweni wa kweli. bibi zenu hata nje hawatoki wanatisha.

    ReplyDelete
  24. Nilijua tu wakikosa tuzo wataanza na mambo ya kuzaa .stupid granny

    ReplyDelete
  25. Bismilahi rahmani rahimi.(IISHI MAA SHIITA FAINAKA MAYITII)SWADAKALAHU LIADHIM.

    ReplyDelete
  26. Bismilahi rahmani rahimi.(IISHI MAA SHIITA FAINAKA MAYITII)SWADAKALAHU LIADHIM.

    ReplyDelete
  27. maskini grandma hujeilewi kabisa kwanza kabisa ujaue kuwa wewe huna uzuri wa kubabaisha mtu labda huyo diamond na for ur information diamondi anafata hizo mali aliekuwezesha ivan kama sio hivo jamani mbona wewe unamza diamondi kwa kukimbia tulia grandma we nawe unajiita mźuri heeeeee unanichekesha

    ReplyDelete
  28. Watoto kila mtu na babayake inahusu mja wa laana wewe.

    ReplyDelete
  29. Tunzo bibi hasira zote
    Domo atangaza ana billion 8
    Inatuhusu nini sisi toeni tununue uongeze mabiliions

    ReplyDelete
  30. Nadhani elimu sahihi inahitajika, Zari na Wema ni wasanii wanaotafuta maisha,haiingii akilini wewe kupoteza muda na kujiharibia heshima yako kwa kutoa ama kuandika matusi, huo ni Ujinga unaoelekea kuwa Upumbavu.
    ukweli ni kuwa Zari amejitahidi sana kujitunza, licha ya umri wake kusonga lakini bado anaweza kufanya mambo mengi na bado yu mrembo, na Wema naye pia ni mzuri kiasi chake, kosa la Wema na baadhi ya wasanii wa kike ni kutumia madawa na vipodozi ambavyo wakati mwingine vinawaletea ugumba, ni vyema kina dada waache mara moja upuuzi wa kutumia madawa ya kuzuia mimba, yumkini hiki ndicho kinachomsumbua Wema. nana sisi mashabiki tutumieni akili badala ya kuanza kutoa lugha chafu ambazo huishia kutudhalilisha.

    ReplyDelete
  31. Nakumbuka sana many years ago while still a school boy tulikuwaga na mwalimu wetu wa kiswahili alikuwa anatuambiga kuwa watu wengi hufikiri lugha ya kiswahili ni lugha nyepesi sana lakini sivyo hivyo kama watanzania wengi wafikiriavyo leo hii huwa nikisoma iwe habari au comments ziandikwazo na hao waandishi wa habari na wadau wengi huwa wanafanya makosa mengi sana ya kukiandika kiswahili japo ni lugha yetu ya taifa tunayoizungumza kila siku na ukiangalia hapo juu unaweza kuona ni jinsi gani lugha hii ilivyokuwa ngumu huyo dada (Zari)alivyoyatoa ya moyoni mwake na watu walioshindwa kumuelewa nia na madhumuni ya kusema hivyo japo imetafsiriwa katika lugha ya kiswahili hapo ndipo huyakumbuka yale maneno ya aliyekuwa mwalimu wangu wa kiswahili enzi zile nasoma shule kuwa kiswahili ni lugha ngumu sana

    ReplyDelete
  32. zari uko poa sana waache waseme usiku watalala

    ReplyDelete
  33. Kitu kimoja ninacho msifia Zari ni hiki: Katokea Uganda kaja kuolewa na staa wa kitanzania, wanawake wa ki tz poleni.

    ReplyDelete
  34. Zari angekuwa mzuri wanaume wangemgombea kama shilingi na Ivan asingemwacha na hata Ivan alikuwa anatembea na wanawake wengine kwa sababu hakuona huo zuri wake. Dai kama angekupenda kama alivyompendaga wema angekuwa anaonyesha kwa maneno na matendo na watu mbona tunaona??? Huna uzuri zari unafikiri uzuri ni rangi nyeupe na kama ni mzuri mbona unaweka matako fake na lips fake vyote hivyo unataka ufanane na wema something that you will never be. At your age concentrate na your family and not wasichana ambao hawana time na wewe. Uwe na aibu na tafuta mtu wa kukushauri what we see una wivu sana na wema you will never be her hata uwe na pesa kiasi gani haiwezi nunua dignity. Unajipotezea heshima yako kila siku mama.

    ReplyDelete

Top Post Ad