Nina Nyumba za Kupangisha UK - Naj Afunguka

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Najma wa Baraka de Prince
Enewz ilipata nafasi ya kupiga naye story na kutaka kujua ni ishu gani huko UK anayoifanya.......
Naj alisema kule UK anafanya biashara ya kupangisha watu nyumba yaani yeye anachukua nyumba nyingi na kuwapangishia watu nyumba hizo, ni biashara ambayo Naj anasema inamlipa kinoma noma na kumfanya maisha yake yaende poa.

Hata hivyo Naj ameendelea kuiambia Enews kwamba ana ndoto za kufunga ndoa na mpenzi wake wa sasa Baraka,hivyo wapenzi wao waendelee kuwaombea mema na baraka katika mahusiano yao ili waweze kufika mbali.

Pia Naj amesema yeye kwa sasa hasomi tena mbali ana dili na ishu za movie, uimbaji na biashara mbalimbali akiwembo hizo za kupangishia watu nyumba UK na biashara nyingine hapa hapa nchin
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wapi London au nyumba za mabwana wake fyuuu

    ReplyDelete
  2. Council houses? Good for her...acha apige kelele..kwanza huwezo hana wa kununua nyumba UK na kuzipangisha

    ReplyDelete
  3. MIE NATAFUTA NYUMBA YA KUPANGA HAPA LONDON TAWASILIANE

    ReplyDelete
  4. London ni vigumu sana kupata nyumba ya kupangisha na ni bei mbaya sana sema labda ana chumba cha kupangisha

    ReplyDelete
  5. do you really have ta talk? or to tell people what ur going keep it with yourself enough entertainers we have

    ReplyDelete
  6. kuna wasanii maarufu UK wenye mahela wasingekuwa na uwezo wa kuwa na majumba ya kupangisha Uk ndiyo itakuwa Naj? naona Naj hakwenda shule na mtu usipokuwa na elimu unakuwa mwongo sana, angekuwa na nyumba za kupangisha angetembea na Baraka de Prince mwenye kipato kidogo sana?

    ReplyDelete
  7. Baba yake ni mhindi ana biashara huko, labda aseme za baba yake.

    ReplyDelete

Top Post Ad