TAZAMA Nyumba Aliyokuwa Anaishi Mtangazaji Millard Ayo Kabla Mambo Hayajamyookea...

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


TBT mtu wako wa nguvu nikiwa nje ya chumba nilichokua naishi kwa miaka mitatu 2005-2008 Keko Machungwa Dar es salaam toka wakati naanza kazi ya Utangazaji/Uandishi kwenye Radio na Gazeti la #MsemaKWELI Hakijawahi kuwa na umeme kwa miaka yote, pamoja na yote sikuwa na neno kuishi hapa... jirani yangu alikua Bwana @yonathanlanda ndio mambo ya kupasi, kuchaji simu na kuangalia TV nilikua nilimalizana nayo kwake, tusikate tamaa watu wangu, kama una nia... hapo ulipo unapita tu.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. thats good you are who you are im so proud of you Mwenyezi Mungu azidi kukufungulia you are nice person

    ReplyDelete
  2. mtu wangu wa nguvu wewe ni mfano wa kuigwa na vija wa kitanzania. Hard work pays

    ReplyDelete
  3. maisha yana safari inahitaji uvumilivu umenikumbusha mbali

    ReplyDelete

Top Post Ad