Video ya Aibu ya Wema Sepetu Yavuja!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 Video ya aibu inayomuonesha msanii maarufu wa filamu Bongo, Wema Sepetu ‘Madam’ akicheza kihasara mbele ya mwanaume imevuja, Risasi Jumamosi linayo kibindoni.

‘Klipu’ hiyo ambayo Wema anaonekana akikata mauno huku suruali aliyokuwa amevaa ikimvuka na kuacha wazi sehemu ya makalio yake, ilivujishwa hivi karibuni na mdau mmoja wa burudani ambaye hakupenda jina lake liandikwe gazetini.

“Hii video niliichukua siku ya ile eventi ya Christian Bella ya kutimiza miaka 10 pale Escape One. Wakati akicheza na msanii wa Kundi la Pah One aitwaye Igwe, Wema alionekana kama alikuwa amelewa, alikuwa akikata mauno lakini aibu zaidi ilikuwa pale ambapo ile suruali yake ilipomvuka na sehemu ya makalio yake kubaki wazi.

“Sidhani kama alikuwa kavaa kufuli, baadhi ya watu waliokuwa wakimkodolea macho walishindwa kuamini kama ni Wema yule wanayemjua,” alisema mnyetishaji huyo.
Baada ya mwandishi wetu kupata nafasi ya kuiangalia mwanzo mpaka mwisho, alijiridhisha kuwa aliyekuwa akionekana kwenye video hiyo ni Wema na kweli alichokuwa akifanya ni aibu tupu.

Aibu yake ni pale ambapo suruali inamvuka na kuacha sehemu zake za siri wazi lakini pia staili ya kumkatikia msanii aliyekuwa akicheza naye kwani jamaa alikuwa ‘akikamatia chini’ huku naye akionekana kutokwa na udenda.

Paparazi wetu alijaribu kumtafuta Wema ili kuizungumzia ‘klipu’ hiyo lakini simu yake kila ilipopigwa ilikuwa haipokelewi.

Chanzo:GPL
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huyo si wema jamni kwa muonekano tuuu wa chini na nyuma khaaa hebu acheni hz mambo...shigongo hebu muacheni huyu mtoto wa watu mnaboa sasa mixeeeww we na waandishi wako

    ReplyDelete
  2. hiyo vidio iko wapi? wacheni usenge!

    ReplyDelete
  3. wacheni chuki mbona yeye hafati mambo yenu iweje muweke upumbavu heshima ni kitu cha bure kuweni kiakili na mujifunze kujiheshimu

    ReplyDelete
  4. bola Wema hamuuzi wala hamlali na wake zetu. Nyoooni!

    ReplyDelete
  5. Kitu kidogo(kama panya) na cha kawaida nyinyi wanahabari wenye vyeti vyenu vya kuhonga mnajaribu kukikuza kiwe kikubwa kama tembo duh!Mmechemsha

    ReplyDelete
  6. kweli ni wema mbona ipo IG jamani,lakini si alikuwa anafurahi kwani wema haruhusiwi kucheza

    ReplyDelete
  7. Kama katika u miss alivaa costume hapo cha ajabu mini?

    ReplyDelete

Top Post Ad