AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Akizungumza na Za Motomoto News, Aunt amesema ameanza mazoezi ya nguvu kila asubuhi ili aweze kupunguza mwili aendane na mpenzi wake kwani mwili wake ni mkubwa kuliko wa mwenzie.
“Daah, nimeona nitapoteza penzi langu bure, nimekuwa mnene kumpita baby kitu ambacho siyo sawa, nilikuwa na kilo 87, hivi sasa nimepunguza kilo sita,” alisema.
Chanzo:GPL
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
TENA NA UFANYE BIDII ULE WAKATI WA MREMBO KIKOJOZI HAUTARUDI TENA
ReplyDeleteDah leo nimeangalia movie yako Aunt inaitwa Test of Love yaani ulikuwa una mwili bomba kweli
ReplyDelete