Bodi ya Mikopo yatangaza majina 1,091 ya wadaiwa Ambao Hawataki Kulipa (Awamu ya kwanza).....Bonyeza Hapa Ujitazame Kama na Wewe Jina Lako Lipo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Bodi ya Mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu (HESLB), inawaarifu wadaiwa wote ambao mpaka hivi sasa hawajaanza kulipa mikopo waliochukua kipindi wanasoma, na wenye majina yao kwenye orodha hii kwamba wamevunja mkataba kutokana na sheria ya bodi hiyo No. 9 ya 2004 (kama ilivyorekebishwa) sehemu ya 19 (1).

Na wanataarifiwa kwamba, kulingana na sheria hiyo ya bodi (HESLB)  No. 9 ya 2004, Bodi imedhamiria kutenda yafuatayo:-

(i) Bodi itachukua hatua za kisheria kulingana na kipengele cha 19 (a) (1) cha sheria ya bodi.

(ii) Mdaiwa atapewa penati ya 5%  juu ya ile 5% iliyokua ikitozwa kabla kwa kila mwezi kwenye deni lililobakia au alilonalo.

(iii) Mdaiwa ataongezewa gharama za kumtafuta alipo ili alipe deni zilizoingiwa na bodi.

(iv) Mdaiwa atawekwa kwenye ‘blacklist’ na maelezo yake yatapelekwa  kitengo cha kumbukumbu ya wakopaji na hivyo kushindwa kukopa sehemu nyingine yoyote.

(v) Mdaiwa atazuiliwa kupata udhamini wa Serikali au udahili wa masomo ya juu kwenye vyuo vyovyote ndani na nje ya nchi.

(vi) Maelezo yao yatapelekwa kwenye Wizara ya mambo ya ndani, kitengo cha Uhamiaji na balozi zote ambako watakataliwa safari zozote za kwenda nje ya nchi.

Wadaiwa wote ambao majina yamechapishwa kwenye magazeti na kwenye tovuti ya bodi ya mikopo (Bonyeza hapa kuyasoma majina hayo) wanatakiwa kulipa madeni yao mapema iwezekanavyo kuzuia wao kupata adhabu hizo zilizotajwa hapo juu.

==>Bonyeza Hapa Kuyasoma Majina Hayo
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Toba jina langu halimo
    Kumbe kuwa punda wa Ridhiwani
    Kunalipa Tanzania pamoja na kupata mkopo na silipi ngooo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Huna lolote kenge wewe,Na umesoma chuo gani usiyejua hata kuandika mtu akaelewa?Huna shule yoyote ya juu zaidi darasa la saba,lengo lako ni kuvuruga watu wajue serikali haijapatia majina.USHINDWE!

      Delete

Top Post Ad