Mzee Makamba: Mchungaji Gwajima anayo laana ya kumtukana Kardinali Pengo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mzee Makamba anadai kuwa Mchungaji Gwajima anayo laana ya kumtukana Kardinali Pengo. Na kwa tafsiri ya kiafrika mtu mwenye laana siku zote hufanana na mtu aliyechanganyikiwa. Ayafanyayo huwa kituko kwa wanaomzunguka, huwafanya watu waingiwe na huruma.

Lakini naamini lengo la Mzee Makamba kumsema Askofu Gwajima ni kumuongezea uadui miongoni mwa wanajamii kwa kuanzia na watu wanaosali kwake. Lengo jingine ni kumchongea kwa Mwenyekiti Mtarajiwa wa CCM.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Laana unayo wewe Makamba mwenye watoto kila mji Tanzania nzima
    Pengo ni Nani ni mungu
    Hata papa anakoselewa
    Tuachiye gwajima wetu msema kweli
    Zee zima kukarii bibilia na kuraani
    Si siasa
    Unalaana wewe

    ReplyDelete

Top Post Ad