Jay Moe Afunguka Kutoka Kimapenzi na Shilole

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwanamuziki rapa nchini anayetikisa kwa ngoma ya 'Pesa Madafu', Jay Moe amekuwa akionekana karibu sana na rapa Bilnass ambaye anatikisa na ngoma ya 'Chafu Pozi' kitu ambacho ni njia pekee ya Jay Moe kumpata mrembo Shilole.

Baada ya kuwepo kwa tetesi za wawili hao kutoka kimapenzi na zaidi kuonekana picha wako pamoja kwenye moja ya eneo za kula bata wakati wa usiku, ENewz ilimtafuta rapa Jay Moe avunje mzizi huo wa fitna kama ni kweli anaanguka kwa Shilole lakini alikanusha nakusema ndio mara ya kwanza yeye kusikia habari hizo.

"Ndio kwanza nasikia mambo hayo, sijui mamneno hayo yametoka wapi, ni mambo ya muziki tu na uvumi wa stori tofauti, kama picha mimi ni msanii na kama wasanii picha ni kawaida tu ila hakuna kinachoendelea kati yangu na Shilole"
Jay Moe anatajwa kuwa karibu na Shilole kutokana na urafiki wake na Billnas.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. HIYO PICHA WEKENI NYINGINE .MAANA HUYU DADA ANAMIGUU MIZURI ZAIDI YA HIYO.HIYO ILIKUWA YA ZAMANI.

    ReplyDelete
    Replies
    1. ha ha ha ha! eti ya zamani! sasa alikatwa miguu akawekewa mipya au?

      Delete
    2. MIPYA IMEJAA NURU INAVUTIA ZAIDI.SIO KAMA AMEKATWA/AMEFANYA MAZOEZI ZAIDI.

      Delete

Top Post Ad