Msanii wa Filamu Gabo Zigamba na Faiza Ally Wasemekani ni Wapenzi..Gabo Afunguka

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msanii wa filamu Gabo Zigamba, amefunguka kwa kusema kuwa hana mahusiano yoyote na msanii mwenzake wa kiwanda cha filamu Bongo, Faiza Ally.

Muigizaji huyo ambaye hivi karibuni amefanikiwa kushinda tuzo ya mwigizaji bora wa kiume kwenye tamasha la Ziff 2016, ameiambia Times FM kuwa hakuna mahusiano yoyote ya kimapenzi yatakayotokea kati yake na Faiza.

“Faiza namjua kama producer wangu, amenishirikisha kwenye filamu yake ya Baby Mama Drama. Hakuna chochote wala hayatotokea mahusiano ya kimapenzi kati yetu,” amesema Gabo.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sungu hauguwi wala mshipa na kiuno havimgongi
    Pigeni hata mko beach na vibikini

    ReplyDelete
  2. Oa bwana mke mzuri huyo mmependezana sana... Kwani sugu na yeye si ana wake tayari, hofu ya nini sasa!?

    ReplyDelete

Top Post Ad