Picha Chafu za Mwanamke Akila Uroda na Ex Zavuja na Kuivunja Ndoa Chini ya Wiki Moja (Audio)

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kuna picha zinasambaa kwenye mitandao ya kijamii zikimuonesha mwanamke akifanya mapenzi na mpenzi wake. Yote hayo yalitokea siku chache tu baada ya mwanamke huyo kufunga ndoa na mwanaume mwingine jijini Dar es Salaam.

Mwanamke huyo amedai kuwa picha hizo alijipiga na mpenzi wake zamani miaka saba iliyopita wakiwa chuoni na zimekuja kusambaa ndani ya wiki baada ya kufunga ndoa. Anadai kuwa ni kisasi cha ex wake aliyedhamiria kuivunja ndoa yake.

Akiongea kwenye Ripoti ya Siku ya kipindi cha Ubaoni cha EFM kilichoruka Ijumaa iliyopita, mwanamke huyo amedai kuwa picha hizo zimedhamlilisha mno kiasi cha kuiharibu ndoa yake, kuwaumiza ndugu zake na kuwakosea heshima wakwe zake na kwamba anajuta kupita kiasi.
“Ni kweli ni mimi ndiye niliyepiga hizo picha lakini ni muda mrefu tangu kipindi nikiwa chuo, yaani hata huyo mtu mwenyewe sijui yuko wapi sina mawasiliano naye tena, sikutegemea kiukweli,” anasema mwanamke huyo.
“Ni kitu ambacho kinaniuma na kimeniharibia mlolongo mzima wa maisha yangu, mpaka sasa hivi sielewi, mume wangu hawezi kunielewa tena na yeye ndio nimemwekea kama nguzo, ndio kila kitu kwasababu hata familia yangu hainielewi ,” ameongeza.
“Mpaka sasa hivi sijui nafanya nini.”

Kwa upande wa mume wake, alidai kuwa picha hizo zimeuvunja moyo wake.

“Tulikuwa tumeshaenda kwenye honey moon tumerudi, sikuamini macho yangu baada ya kuona hizo picha na huyu mwanamke, rafiki zangu walikuwepo wengi sana, best man wangu pia ni vitu ambavyo kuvizungumza mimi nashindwa, naanzia wapi, lakini mapenzi huwa yako hivyo, inawezekana iko hivyo lakini sasa kama mazingira kama yale hata kama ukiwa ni wewe lazima utaumia, familia yangu ntaiambia nini mimi, imenigharamia harusi kubwa,” alisema mwanaume huyo.

Amedai kuwa haoni kama inawezekana tena kukaa chini na mke wake huyo kwa kile kilichotokea.
“Nikae chini ili iweje?” alihoji kwa jazba. “Imeniuma, imeniumiza sana hii kitu haki ya Mungu, hata kama miaka kumi imepita kwanini imekuja kwenye harusi yangu, zawadi zimekuja kwaajili ya harusi yetu kwanini aletewe picha za aina hiyo? Angeniambia before kwamba nilikuwa na moja mbili, ningekuwa najua, lakini amenificha. Imenicost kwa kiasi kikubwa sana, nitaiambiaje familia yangu kwa mfano? Nitasema nini.”

“Sitokuja kupenda tena mwanamke wa aina yoyote ile, mpaka nakuja kuingia kaburini, I swear to God, imetosha kabisa.”

Wawili hao walifunga ndoa tarehe April 23 mwaka huu.

Kwa mujibu wa best man wa harusi hiyo, waliziona picha hizo siku nne baada ya harusi wakati wanafungua zawadi walizopewa na kuzikuta zikiwa kwenye bahasha na kusababisha vita kubwa kwenye familia yao.

Anadai kuwa rafiki yake hataki kusikia chochote kuhusiana na kumsamehe mke wake na jitihada za ndugu kuwasuluhisha zimegonga mwamba. “Yaani hapo alipo nakuambia haelewi, mtu anayenisikiliza ni mimi tu, hasikilizi mtu yeyote. Huyo mwanamke ndio analia muda wote, jamaa haelewi,” amesema best man huyo aliyejitambulisha kwa jina la Geofrey Nicholas.

Sikiliza mkasa mzima hapo chini.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

23 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hiii haija kaa sawa ukifuatilia huo mkasa mzima na ukiangalia hiyo sm huyo Dada aliyoshika ni kampuni ya Hallotel,,,,swali,,,,miaka 7 iliyopita kulikua na Hallotel????au huyo dada kadanganya jamiiii au ni deal tu za kiki za kibwege?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hii story ni ya uongo hizo picha za huyo malaya na msenge mwenzake sio Watanzania, waliohojiwa EFm ni waigizaji na maharusi wamechafuliwa bibi harusi sio huyo kwenye picha
      fanyeni kazi muachege uzushi wa kijinga
      hamuwezi kujiuliza zawadi za harusi zinafunguliwa na msimamizi mbele ya familia? huo ni uongo wa kuchafua watu wasio na hatia
      na ukiangalia hiyo video mdada anafanya mapenzi lakini sio kinyume na maumbile
      nani anayekubali kuhojiwa kwenye redio kama ni kweli mkasa umekukuta?? mkakojoe mlale mzue lingine

      Delete
  2. IMENIUMA MNO JAMANI!DAAAA!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wala usijiumize roho mkasa mzima ni wa kutunga na uongo kuchafuana kwa njia ya mitandao

      Delete
  3. Hii story imeza gaa sana instagram na picha ni nyingi kupita maelezo ila cha kushangaza kuna picha huyo dada kapiga self kashikilia sm ina nembo ya hallotel,,,,swali miaka 10 iliyopita kulikua na sm ya hallotel????????hiii haijakaa sawa banaaaa ,,,,,

    ReplyDelete
    Replies
    1. alaaniwe alieanzisha uzushi wa hii story kwa nia ya kuchafua maharusi umeshindwa na kwa jina la Yesu umeshindwa na ndoa itadumu miaka elfu mpaka Mungu awatenganishe, umetuchafua kwa habari isiyo ya kweli mpaka umefikia kukodisha waigizaji wa kuongea na Radio hizo pesa ulizotumia kufanya uzandiki ungezipeleka kwenye kituo cha watoto yatima wakapata mlo wa jioni
      Damu ya Yesu imewafunika maharusi ushindwe na ulegee shetani ameshindwa Aleluyaa

      Delete
  4. Mume wake awe na hekima kwamba hili jambo lilitokea kabla ya kuwa pamoja na huyu binti. Amsamehe. Kwanza hajamkosea. Aliyewakosea ni huyo bwana wa zamani. Huyu mume na rafiki zake wangemtwanga yule bwana kwa kumdhalikisha mkewe. Mume anahasira namna hii kwa jambo ambalo halihusiani na ndoa yao. ni mambo ya zamani. Hata mi namwogopa huko mbele atamtesa mkewe kwa kutoelewa hili. Bora waachane. Binti olewa na mtu ambaye hatajali ya nyuma. Kwanza mambo haya ya bedroom kila mtu anafanya sasa hasira za nini? Wazee na ndugu mpeni support msilikuzeee. Binti hajatenda dhambi. Rafiki anasema mume mkorofii ni kweli!!!! Yule bwana wa zamani ashtakiwe kwa kudhalilisha. My take!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Anonymous hapo juu I like your take and sense of humour,.... makes sense kama tendo lilifanyika longtime ago... ila kama ni recent kipindi cha uchumba wao hapo ni tatizo kidogo.

      Delete
  5. kuishi na mwananmke aliepiga picha za x ngumu sana bora kumfumania unaweza kumsamehe kuliko mapicha hayo dah huwezi i say ngumu sana pig chini tu mtu unafanya umalaya na mapicha ya nini sasa acha akome

    ReplyDelete
  6. WEWE ULIYESAMBAZA HIZO PICHA UMEPATA FAIDA GANI?????

    ReplyDelete
    Replies
    1. Amejilaani yeye na kizazi chake, kwa jina la Yesu ameshindwa na amelegea huko aliko, ametunga uongo wake na kubandika picha alizokuta mitandaoni kwa nia ya kuwachafua maharusi,
      kazi ya shetani hiyo imeshindwa
      maharusi wapo wanafurahia ndoa yao hakuna aliepiga picha za uchi ni uzushi wa mitandaoni

      Delete
  7. yaliopita si ndwele gangeni ya jayo. hata wewe bwana una mambo yako ila tu kwa vile hayawekwa wazi? pengine machafu kuzidi hayo ya mkeo. mbona kanye west anadunda tu kim ambaya picha zake kama hizo zilisambaa dunia nzima.kwa vile kenya west ana mapenzi ya dhati kwa mke wake wala hajali anadunda naye na kuwakata vilimi wale wote walopost picha chafu za mkewe kwenye mitandao

    ReplyDelete
  8. maishani kila mtu ana yake, kaeni msameheane. angekuwa amefanya akiwa ndani ya ndoa ilo lingeleweka. na isitoshe tukiwa chuo ndiyo tunafanya kila aina ya EXPERIMENT kwa iyo uyu bwan naye awe na utu lazima naye atakuwa na ya kwake.

    ReplyDelete
  9. huu ndiyo wa kati wa kudhihirisha ule usemi na kiapo cha KWA SHIDA NA RAHA.

    ReplyDelete
  10. Halafu huyu mume wa ajabu kweli eti angekuambia kabla ya ndoa!! hivi wewe ni mangapi yako umwemwambia kuwa umefanya?? pengine una hata watoto uliozaa nje je umemwambia mkweo?? kuwa mkweli hilo limetokea litapita kama mengine yote endelee na maisha ya ndoa jamani

    ReplyDelete
  11. Yamalizeni muishi,tena ndoa yenu itakuwa na heshima sana,mume acha kabisa kusikiliza ya duniani ukumbuke kwamba haya yalikuwa kabla ya ndoa,na kwani wewe huna makandokando kabla ya kuoa?Jiulize kwa nini huyo jamaa alete picha hizo siku ya ndoa?Na wakati wa kumuonyesha kwamba unampenda mkeo ndio maana ulimuoa tofauti na yeye japo sijui kwa nini hawakuoana.Mimi ninaeandika hivi yamenikuta lakini nilisikiliza ushauri wa watu na niko na mke wangu mpaka leo miaka 8.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kakangu wewe ni mstaarabu sana unaonekana,ila kwa huyu hawezi kuishi na huyu mke,ni mkorofi mno.kwa kuwa hawajazaa ni bora kila mtu achukue time yake.

      Delete
    2. Mwanaume anaonyesha hana mapenzi ya dhati kwa mkewe.Dada usilazimishe kuishi na huyo mume,utakuja kujuta baadae.

      Delete
  12. KWANI HAYA YAKO KWA WENGI BRO,NDANI NA NJE YA NCHI.IWE ISIWE WEWE MUME NDIO WA MWISHO KUAMUA ILA INAONEKANA MUME NI MKOROFI PIA.
    KAMA KAOMBA MSAMAHA NA KUJUTIA ENDELEZENI MAISHA.

    ReplyDelete
  13. MAMBO YALIFANYIKA KABLA YA NDOA. KUWA KAMA KANYE WEST BWANA. ANA FURAHA KUBWA NA NDOA YAKE JAPO ICHA CHAFU ZA KIM ZIPO NITANDAONI. KAWAZIPA MIDOMO WALIOPOST PICHA HIZO

    ReplyDelete
  14. Ila kiukweli huyu mwanamke ni muongo, eti amepiga hizo picha miaka 7 iliyopita, hv jamani miaka saba iliyopita halotel ilikuwepo? Nilibahatika kuona moja ya picha akiwa ameshika simu ya halotel.huyo itakuwa alipiga wiki moja au siku 3 kabla ya harusi.

    ReplyDelete
  15. STORY NZIMA NI UONGO MTUPU!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad