Professor Jay: Kutokujua kimombo si dhambi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msanii wa muziki wa Hip Hop na mbunge wa Mikumi, Professor Jay amesema kuwa kutokujua Kiingereza siyo dhambi.

Rapper huyo kwa sasa anakiki na wimbo wake mpya ‘Kazi Kazi’ aliomshirikisha msanii wa nyimbo za visingeli, Sholo Mwamba. Akiongea na kipindi cha Hatua Tatu cha Times FM, Professor Jay alisema, “Hii sijui kiingereza, Kiingereza ni Kushoboka tu. Viongozi wengi mbona tunaona wanakuja hapa Tanzania hawajui Kiingereza.”

Aidha kiongozi huyo ameongeza kuwa kwa wasanii mameneja ndio wanapaswa wajue lugha hiyo ili wawe kama wakalimani kwa wasanii wao.

Bongo5
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Imekuwa hivyo tena?
    Pengine sio wewe,lakini ndani ya kundi lako mlikuwa mnamcheka muheshimiwa rais kupenda kuongea kiswahili na kwamba pengine kingereza kinampiga chenga?Haki siasa ni maji taka kweli.

    ReplyDelete
  2. Na wewe hujui kingereza?

    ReplyDelete

Top Post Ad