Rais Magufuli: 5,000/= Wanazoomba Trafiki Barabarani Hazina Shida

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Rais Magufuli Anaonekana akisema:
Saa zingine tunawaonea ninyi polisi, unakuta traffic amekaa mvua inanyesha lakini hata kumshukuru hamna kila siku anaambiwa anakula rushwa rushwa, sasa lakini hata akipewa sh 5000 ya kwenda kubrushi kiatu chake nayo ni rushwa?

Msikilize Hapa:
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. MWANDISHI NI PUMBA MU KICHWA YAKO,AU TUSEME NDIO CHOKOCHOKO ZENYEWE.KWANI WEWE UKIMPA DACKTARI AU AFISA YOYOTE BAADA YA KUKUFANYIA KAZI NZURI AU HATA KAMA HAJAKUFANYIA KAZI YOYOTE UKAAMUA KUMPA HELA AKAPATE SODA,HAPO ATAKUWA AMEOMBA RUSHWA?HAPA IKO HIVIIII TRAFIC AKIPEWA SH.5000 SIO TRAFFIC AOMBE SH.5000.

    ReplyDelete
  2. Msikilize vizuri mheshimiwa ndio utamuelewa anamaanisha nini.

    ReplyDelete
  3. Mapashkuna wanavyojaribu kuitengeneza hii kitu,mmh.Kama rais kahalalisha rushwa endeleeni kuomba rushwa muone.

    ReplyDelete
  4. Hakuna watu wabaya au wazuri Kama waandishi wa habari
    Watanzania tyfungue macho
    Leo naangalia cnn oops
    Speech ya First Lady 2008
    Imeikaririwa na mke wa Trump
    Leo yote hii ndo habari ya mjini
    Watanzania tuyazoee haya
    RC dar kishanzaa kuzoea

    ReplyDelete
  5. Hata msemeje au muandikeje,mkubali huyu ndio tegemeo letu watanzania kwa sasa.

    ReplyDelete
  6. Yani mm kwa magufuli mtu haniambii kitu...sion sisikii kwa raisi wangu...mim ni ukawa damu lakn kwa anko magu akuuu tutabishana kwa wengine lakn raisi wangu ni mtendaji shupavu...madili yote ya mjin ya wajanja kwisha haha unafanya mazaha mpka joto limekimbia mji..sahv kila mtu kimyaa utakula na kuvaa na kuendesha gari kwa pesa halali tuuu hahahaaahhah magu nakupenda bure raisi wangu...

    ReplyDelete
  7. NYIE MNAOTAKA KUGEUZA MANENO NA MANTIKI YA MHESHIMIWA, MSHINDWE KABISA! MSIJIFANYE PUNGUANI, MHESHIMIWA JPM ACHANA NAO, SONGA MBELE BABA, ALUTA CONTINUA!

    ReplyDelete
  8. NYIE MNAOTAKA KUGEUZA MANENO NA MANTIKI YA MHESHIMIWA, MSHINDWE KABISA! MSIJIFANYE PUNGUANI, MHESHIMIWA JPM ACHANA NAO, SONGA MBELE BABA, ALUTA CONTINUA!

    ReplyDelete
  9. Komenti ndiyo nimesha ituma

    ReplyDelete
  10. Frank Matunda, Ahsante, umenielewa kuhusiana na nini maana ya rushwa.

    ReplyDelete
  11. mbona komenti hazichapishwa??? kulikoni??

    ReplyDelete
  12. Kuna haja ya kuongeza mianya ya watu kupata elimu, kuna wakati tunatakiwa kusema ukweli hata kama kasema nani.
    Jambo la msingi na la kufahamu ni kuwa jambo au tamko lolote analotoa Rais linachukuliwa kama sheria, acheni unazi na unafikim usiokuwa na maana, mwandishi katoa habari ya alichosema Rais, wewe unakuja unatukana, hivi hapo uelewa wakom tuuchukulie kwa kiwango gani? kama hujui kitu kaa kimya na waachie wataalamu wa masuala ya siasa waseme. kumbukeni kuwa ni unazi kama huu huu uliofanya au kusababisha hatua zetu za kimaendeleo kuwa nyuma hadi sasa, tutumie muda wetu mwingi kufikiria vitu vya kutuingizia kipato na siyo kutoa maoni ya kutukana watu, ni lazima ifikie wakati tuheshimu Autonomy ya mtu na siyo kuishi kwa mihemko kwani hakika itakugharimu sana. kundi alilopo mwandishi ni la [interest group] hivyo anachokifanya ni kile ambacho yeye kama mwana habari anataskiwa kufanya, vivyo hivyo kwa masuala kama ya kiuchumi, kisiasa, n.k
    ni vma tukasoma kwanza tuelewa na kada anayotoka fanani kabla ya kuandika kitu.

    ReplyDelete
  13. Rais kasema traffic akipewa 5000/= nayo ni rushwa!! hakusema traffic akiomba 5000/= tunatakiwa kuelewa kilichosemwa.

    ReplyDelete

Top Post Ad