Wema: Licha ya Kuniacha, Nitazaa na Idris

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

LICHA ya madai kuwa wapenzi wawili, Idris Sultan na Wema Sepetu wamemwagana, muigizaji huyo nyota na Miss Tanzania 2006, amesema anataka kuzaa na mshindi huyo wa Big Brother Hotshots 2014 kutokana na jinsi anavyojali na mwenye huruma nyingi.

Akiteta na Amani hivi karibuni, Wema alisema atajisikia fahari sana endapo mtoto wake wa kwanza angezaa na Idris kwa kuwa amemuonesha dhahiri kuwa ni baba bora.

“Kiukweli namuomba sana Mungu kila kukicha, baba wa mtoto wangu awe ni Idris kwa kuwa ni mwanaume pekee ambaye naona ni mwenye mapenzi ya dhati kwangu,” alisema Wema.

Chanzo: Amani
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. It's too late. Move on. Utataka uwe na baby dad drama tu.

    ReplyDelete
  2. KUWA MSIRI BASI HATA KIDOGO KWA MAMBO YAKO WEMA JAMANI!!!MIMBA HUWA INAKUWA KWA KWENDA MBELE ITAKUWA TUTAIONA TU HUNA HAJA YA KUINADI JAMANI.

    ReplyDelete
  3. du hiyo picha hapo juu Wema katokea vibaya sana ebu angalia hiyo pua yake du

    ReplyDelete
  4. Wewe mzuriiiii????? Hata kama mbaya hujamuumba wewe,nyoko wewe

    ReplyDelete
  5. hiyo picha hapo juu pua yake ni mbaya sana yaani inaonekana kama myama flani ebu angelieni vizuri hiyo pua

    ReplyDelete
  6. da hiyo picha ya wema hapo juu ni mbaya sana angalia pua yake ingekuwa marekani akina kim kardashian wangemcheka sana eti anataka kufanana na Kim na pua kama hiyo ya Wema hawezi kufanana na Kim Kardashian hata siku moja kwanza Kim Kardashian hamjui Wema ni nani

    ReplyDelete
  7. Kim Kardashian alipiga self na watu kwa muda wa lisaa limoja akapata dola 700, 000 yaani bilioni moja na nusu ya kibongo, lakini nani atamlipa wema kufanya selfie nae kwa kumlipa? jibu hakuna watu watafanya selfie na wema kwa kulala nae bure bila kulipa chochote sababu yeye ni mama huruma

    ReplyDelete
  8. mmhh ww anon wa 12;21 umeshakula lakini maana si kwa mapovu hayo.=p~

    ReplyDelete
  9. MIMI NASEMA WEMA UKIPATA MTU WAKUKUOA DUNIA ITANDAMANA KWASABABU KWANZA WEWE NI MALAYA WA KUPINDUKIA ALAFU WANAUME WAMESHAKUSITUKIA WOTE HAWO WANAKUONGOPEA SIKU UTAPOJITAMBUWA KUWA WANAUME WANANIDANGANYA NDIO UTAPATA MWANAUME WAKUKUOA KWANZA JITAMBUWE

    ReplyDelete

Top Post Ad