Mwigizaji Jackline Wolper atangaza kuhama CHADEMA na kijiunga na CCM

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwigizaji wa filamu nchini Tanzania Jackline Wolper aliyakuwa akimuunga mkono Edward Lowassa katika uchaguzi Mkuu 2015, ametangaza kujiunga na CCM rasmi jana

Wolper alikaribishwa na mwenyekiti aliyemaliza muda wake Dkt Jakaya Kikwete baada ya kutangaza kujiunga na CCM.

Kitendo hicho kilifanyika katika Mkutano Mkuu Maalum wa CCM uliofanyika jana Julai 23, mkoani Dodoma.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mtaka huku na huku hukosa yote simama kama wewe na kwa sababu ya mtu au watu fulani wamefanya hivyo basi na wewe ufuatishe "DON'T BUCKLE AND STUMBLE"Be yourself that's make sense in life

    ReplyDelete
  2. Njaa mchezo
    Watanzania wengi ni wanafiki
    Tanzania sahauni vyama vingi CCM
    Ina mbinu za kipumbavu. Kuuwa upinzani
    Watarudi wengi lakini magu
    Hagawi vyeo kama karanga
    Tanzania usipokuwa CCM
    Umekwisha

    ReplyDelete
  3. Inaonyesha jinsi gani CCM walivyo vilaza
    Mwenyekiti mzima tena mkutano mkuu
    Kumpokea huyu Malaya
    Anayetangatanga
    Hajui atendalo
    Na wengine wote walio Hama na kurudi CCM
    Kweli mmeishiwa
    Mwl asingefanya hivyo hata
    Kama lowassa na sumaye wangeamua kurudi CCM
    Aibu tupu

    ReplyDelete
  4. Ahahaaa weng hawakumfaham JPM ndio maana waliham kwan walikua wanamfaham Lowassa. Hawakuham kwa sababu wanapend upinzan laahasha walidhan Lowassa angeshind ila wakajikyta wameambulia patup. Walijua Lowassa angewap vyeo. Sasa wanaon hapa kazi tuu anafany maajab na kuon kam mwish wa upinzan uko karib sasa hawan choice waon ni kurudi tuu. Na bado huo ni mwanz weng wako njiani. Lowassa mwenyew alichagua CCM kwenye uchaguz mkuu, jamaa hakuj kujeng upinzan amekuja kuubomoa subirin muone. Lowassa mpaka hivi anajisikiaemo CCM kulik CHADEMA na UKAWA.

    ReplyDelete
  5. Nasikia kutapika
    Yaani mwenyekiti mzima kumpokea huyu Malaya
    Kisa alidai ni mtoto wa Lowassa
    Kweli huu ni kama mashoga rusha roho
    Hii hufaywa na mashoga
    Shame you ccm
    Lowassa hasoneneki kwa hili
    Kumbe tishio kwenu
    Bora umetoka

    ReplyDelete
  6. Msanii ni masani tu!! Fanyeni usanii wenu..

    ReplyDelete
  7. Ujinga mtupu alidhani chadema angepewa ubunge wa viti maalum!! mwe!! atokomee alikotokea hatumwitaji....

    ReplyDelete

Top Post Ad