Picha za Masanja na Mke wake Zazua Maswali Kwa Mashabiki wake..Wadai Mke wa Mchungaji Apaswi Kuvaa Hivyo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya Harusi ya Mchekeshaji Masanja na Mkewe iliyofungwa Jumapili iliyopita wawili hao wameonekana kwenye picha mbali mbali wakijivinjari Honey Moon huku mavazi yao yakileta mabishano kama kweli ni Baba Mchungaji na Mama Mchungaji....

Baadhi ya Comments kwenye picha hizo hizi Hapa:

"Wachungaji wa mwendo kasi.."

"Kwa jinsi walivyovaa Biblia Takatifu inatufundisha kuwa utaweza kuwatambua kama ni nkweli wachungaji wa Kanisa la Mungu au watumishi wa kitapeli. Hivi vitu havijifichi. Mtumishi wa Mungu haachi maswali na hata akijifanya kwamba hamfahamu Mungu atajulikana tu kuwa ni mtumishi wa Mungu. Kumbuka Petro alipojaribu kusema hamfahamu Yesu na akaanza kuondoka ila waliokuwepo wakasema kuwa hata anavyotembea inadhihirisha yeye ni mtu wa Kristo. Je kwa muonekano wa Masanja, yeye ni mtumishi wa Mungu aliye hai????"


"Don't judge by looks....THE LORD GOD ALMIGHTY knows the hearts of everyone"


"Mavazi yanaonyesha uhalisia wa mtu. Kuna mavazi ambayo KAMWE mtu wa Mungu hawezi kuyavaa au kumruhusu mtu anayemmiliki kuvaa. Ila sijayaongelea mavazi aliyovaa Masanja"

"The Bible teaches us how to distinguish false from true prophets. Follow the Bible!!!"

"Dah!Mke wa masanja ana ugonjwa wangu kwa kweli"

Na wewe toa Maoni yako:



-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Acheni ushamba
    Lazima aendane na wakati
    Kwani mungu yupo popote na vijana wengi ndo mavazi Yao hayo Kama mchungaji ili akubalike na vijana lazima aendane nao,
    Uli mradi mavazi hayo si mabaya kwenye jamiii

    ReplyDelete
  2. Masanja simwelewi kabisaaa?

    ReplyDelete
  3. Hao waarabu aliopiga nao picha ndio walioidhamini harusi yake?????????

    ReplyDelete
  4. Enter your comment...sifuri hakuna mchingaji hapo tapeli tu.

    ReplyDelete
  5. Enter your comment...sifuri hakuna mchungaji hapo tapeli tu.

    ReplyDelete
  6. Matasema yote ila vazi au kusema bwana asifiwe sio sababu ya kuwa Mlokole Matendo yako ndio yatakayo kufikisha Mbinguni,,,,Kaenda ufukweni Avae Dira ndio bado mngesema,,,Binadamu ni kiumbe Mgumu sana acheni kuhukumu watu .

    ReplyDelete
  7. kweli ni wapiga hela mtu hawa,lakini mungu atamjujaji kila mtu accordingly.

    ReplyDelete
  8. Dar jaman hv kwan alichokosea hapo n nn tatizo nabii cjakubali kwako Na ukizingatia mbona hajavaa vibaya kwan ukiokoka ndo uvae kishamba huo ni ujinga kwa kuchukulia kwamba kila mlokole ni mshamba Na asivae vizuri ww unayejifanya kuvaa madiraa kumbe ndan ibilisi mkubwaaa mbona mapaster wa nje wanavaa hivyoo Na haiwaharibii huduma yao au kwasababu yupo tz stop it elimiken kiukweli watumishi wa Mungu munafanya hata vijana wasimtumikie Mungu (kuokoka) kisa maono yenu finyu mm cdha kama Mungu anapenda kumuona mtu asiyejijali pendeza kijana ili kila mtu ajue kuokoka c kuacha kuvaa vizuri( nice swagz) Na wajue Mungu unayemtumikia ndiye akupendezeshaye vaa vizuri kuwa atractive and smart yan kwa upande Wangu dats iz gud xaana

    ReplyDelete
  9. Ya Ngoswe Mwachie Ngoswe

    ReplyDelete
  10. Enter your comment...Mh! km ndo ivo jaman huyu anachungia tumbo mie ndo maana sometimes namkubali kakobe japo wanamponda sana hawa wachungaji wa kibongo fleva wacha wajifariji jehanam ina weng sana tuu

    ReplyDelete
  11. Kwani anachunga nini????????? Mbuzi???????? Huenda!!!!!!!

    ReplyDelete
  12. hapo ndipo walipofikishwa wakristo na hao ndio manabii wa uongo!!! zindukaneni msilimu!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad