VIDEO: Alichokiongea RC Makonda Kuhusu September 1

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

August 30 2016 Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amewataka wananchi kuungana na Jeshi la Wananchi Tanzania katika maadhimisho ya miaka 52 ambayo yatafanyika September 1 2016.
Katika maadhimisho hayo Jeshi la Wananchi pamoja na wananchi wenyewe wataitumia siku hiyo kuchangia damu salama pamoja na kufanya usafi wa jiji.
Lakini RC Makonda amewataka wana Dar es salaam wote pamoja na watanzania kwa ujumla kuondoa hofu ya kuwepo kwa maandamano yanayoitwa ‘UKUTA’

Unaweza kuendelea kumsikiliza RC Makonda kwenye hii video hapa chini…
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kaongea nini ?
    Ana mdomo mchafu unanuka nasikia kutapika
    Yeye wa kukanda na kukashifu awamu ya nne!
    Jk makosa ulifanya kuwapa u DC dar hawa

    ReplyDelete
  2. Mmmh,siamini kama hakuna UKUTA,Ila kwa kuwa tutakuwa na walinzi wa kutosha tutakuja kujuika mkuu.God bless you.

    ReplyDelete
  3. yeah good speech,kaongea vizuri sana .kweli hawa jamaa akili zao zimegota ukutani,zimefika kikomo-c tafanya usafi kiongozi,kuokoa maisha ya ndugu zetu wanaohitaji kuongezewa damu,na kuwaenzi mashujaa wetu na pia ni siku ya kusherehekea siku ya birthday yao ya miaka 52..aamiiina.big up n salute comando mkakamavu makonda.

    ReplyDelete

Top Post Ad