Wema Sepetu: Sirudi Tena Dar

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Malkia wa filamu Wema Sepetu amelikimbia jiji la Dar es salaam na kuamua kuanzisha makazi mapya mkoani Arusha kama alivyodai mwenyewe.

Mwigizaji huyo ambaye kwa sasa yupo mkoani Arusha ameonyeshwa kuvutiwa na jiji la Arusha na kuamua kuwarusha roho mashabiki wake kwa kuwaambia kwamba hatarudi tena Dar es salaam.

“My shouger nikimpenda hovyooo, kweli watu tumetoka mbali, huyu ndiye atakayenifanya nihamie Arusha kwakweli,” aliandika Wema katika picha hiyo hapo juu akiwa na rafiki yake.

Kadhi siku zinavyozidi kwenda mrembo huyo anaonyesha kuendelea kuvutiwa mji wa Arusha.

“Nirudie nini Dar mie, kurudi Dar majaliwa, na sirudi Dar ng’o,” aliandika Wema katika ujumbe wake wa pili.

Hata hivyo uwamuzi huyo umepokewa tofauti na baadhi ya mashabiki wake katika mitandao ya kijamii.

Haya ni maoni ya baadhi ya mashabiki wake.

Hopeolivier24
Dar bila Wema Itawezekana kweli? Itakuwa manispaa maana jiji unaliamishia Arusha😀😀

Zai_miss
Kwaiyo ushahamia arusha jamani khaaaa vigoma vyako itakuwaje My mmmh ila umefanya lamaana maana bongo kwa moto arusha Baridi kishezi😂😂😂😂😂

Theonerealdully
Utarudi tuu. Watu wa dar miji mingine hamuiwezi hekaheka zenu na mafoleni mwayapenda hivyohivyo

Andymsalali
jamn kwann, rudi bhana, tumekuzoea wenyew kukuona dar

Zeyaabdallah
Wema Rudi home coz matatizo hayakimbiwi dadaangu mpenz Wang.sawa Bali unatakiwa uyakabi

Bongo5

Comments
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Usirudi Kabisa
    Tupumuwe
    Tulikuchoka

    ReplyDelete
  2. ulikuwa unambeba mgongoni nini?

    ReplyDelete
  3. Umeenda kwa bwana wako wa mgodini tu huna lolote ,,?

    ReplyDelete
  4. Biashara Dar imebuma. Kaona akajaribu Arusha. Hahahaha

    ReplyDelete
  5. Shoga biashara ya Tanzanite Magu kishaitia mkono
    Arusha

    ReplyDelete
  6. mmh kwani wewe ndo ulikua jiji kwamba ukienda watu tunakosa pakuishi.....! ovyo kutaka tu attention za wtu si uame kimnya kimnya

    ReplyDelete
  7. Arusha ina wenyewe mama utapaweza?

    ReplyDelete

Top Post Ad