Aunty Ezekiel Akerwa na Wanaosema ni Snitch na Anajipendekeza Kwa Zari...Atokwa na Povu na Kusema Haya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Anti Ezekiel Awashuki wanaosema anajipendekeza kwa Zari ・・・

 #Regrann from #auntyezekiel - Naitwa Aunty Ezekiel Grayson jujuman Ukipenda ...Mama Cookie Mnyakyusa hasilia ...Sasa bac Nataka niwaambie kitu kimoja mana kujibu mmoja mmoja Muda huo sina ni hv Nafanya ntakalo sifanyi Mtakayo mana nina uhakika nyie mnaokaa kubishana na mm vibanda vya mbavu za zaMmbwa zinawashinda so muda mnaokaa mkafatilia yangu mngeenda tafuta lakufanya ....Oooh njaa Yes I say tena Yes mana mnataka nibadili Red kuwa Yellow kwani yule c ni boss wa mkata viuno wang au!!!Sasa kama ni boss ulitaka nibishe niseme mm ndio Boss bac nifungue band yetu acheze!!!Mnawazimu nn na Namuheshimu kama Mshkaji rafiki boss wa bwanaangu na siwezi acha kushirikiana na Familia yake eti kisa Ushuzi mtasema nn...Sitaki kutaja majina ya watu ila kilichopo ndio ukweli asilia Mama Tee ndio mwanamke na Mama watoto wa Nasibu no way hata tulambe rami kubadili ni ngumu Ila mwenyewe akibadili bac na Sisi tutabadili ila kwa sasa ni Mama tee Shukrani gud Day #msaliti kulingana na wakati eti umemuacha mumeo jela mlitaka nikagongane nae jela Au nikae miaka 20 akitoka nina miaka 50 nazaa lini nalea lini nakufa lini Wapuuzi nn msinichefue mie msitake niongee yasiyowahusu...Mnanitoa Povu kama mmenilaza kwenye sabuni ya Unga
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

23 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mnafiki Aunt, mtu alomuacha mumewe wa ndoa akaja kwa mkata kiuno kumzalia mtoto kama sanamu. wameshindwa mawifi na mkwe utakuwa wewe.

    ReplyDelete
  2. alikuwa Halima mapengo akimshookea Bi Leba, kiko wapi itakawa wewe kifupi kama kimba la dog.

    ReplyDelete
  3. huyu Andunje kajiona kafika kwa mkata kioni. alivyomchukulia mwenzie haoni, anajipendekeza kwa Domo yeye mwenyewe alishatiwa na Dai kama Worper. kafue nyaaa ya Tifaa angalau uongeze umaarufu, maana umezaa kituko cha mpapure.

    ReplyDelete
  4. huyu arudi shule kwanza, maana hana mbele wala nyuma, hata huyo mkata kiuno asinge kuwa nae kama si Wema. kajisahau kwa kutafuta kiki za kushika tumbo la bi kizee 41+

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mmmmh povu linakutoka yote ya nini? Grandma kamzaa mama yako au baba yako mmmh

      Delete
  5. Granmaa kamtoa akili anatamani angekuwa yeye but hukumfurahisha siku ileee alokutia Domo amewamaliza vistaa uchwara vya bongo muvi.

    ReplyDelete
  6. wape mapovu hao wasiojua kufanya yao. usitazame sura fanya upendanyo

    ReplyDelete
  7. aunty mpaka unanichekesha ...Mnanitoa Povu kama mmenilaza kwenye sabuni ya Unga..nilikuwasijacheka siku nzima kwahili umenichekesha asante sana aunty.sasa kweli umekua.bi dada.but its real fact...

    ReplyDelete
  8. WASWHILI CHOKOCHOKO YAO YANAWASHINDA KUISHIA UNAFIKI TU.HAMNA LOLOTE...TAKAGOMBANISHA WENZAO TU KISHA WAFURAHI

    ReplyDelete
  9. HATA HII KUKAA KAA NA WIFI SIJUI MAMA MKWE IMEPITWA NA WAKATI,WAZUNGU WANAONA MBAAAAAAAAAAAAAALI.NDIKO INAKO ANZIAGA CHOKOCHOKO UKO..

    ReplyDelete
  10. Mamae aunt imekupenyaaa eeh ndo maana unamwagika povu shoga...hahahahha kwani uongo we si kilamba matako wa zari...kanye boga bibi weweeee

    ReplyDelete
  11. wacha wasemeeeeeee weeee

    ReplyDelete
  12. Safi sana mama cookie, achana nao fanya yako

    ReplyDelete
  13. Kwani nani kawakataza na nyie kwenda kujipendekeza mlitaka afanyaje acheni ujinga aunt she has a right to attend any events that diamond will do so if you didn't like it go to yell or drink a chlorine

    ReplyDelete
  14. Huyo wema kawa nani bwana kila anaegombana nae watu wamchukie pia? Mwachen aunt wa watu bwana. Kwanza huyo wema mwenyewe hana kinyongo na zari wala dai, na angealikwa si ajabu angeenda ni wavimba macho tu ndo mnamkuzia bifu wema wa watu. Acheni kukuza mambo fanyeni yenu, ndo mana wema kawakana live team uchwara hawajui jamani.

    ReplyDelete
  15. Enter your comment...waswahili kwa maneno na mnajua kujichosha badala mfanye yenu mnataka kujua Fulani kafanya mini twendeni na wakati wakutafuta maisha c kutafutana mxyuuuu

    ReplyDelete
  16. nikweli jaman mlitaka amtenge mumewee aende mwenyewe kwenye birthday namuunga mkono aunty ezekieli asilimia mia.yupo sahihi kwa hiyo unga na mboga wakose kisa team zenu za kikumaa kwanza huyo aliesalitiwa anamana gani anamsaidia nini mose akifukuzwa kwa dai kaz atamlishaaa>???????????????????????mama cookie achana na hao team matako bandia usiwasikilize yao yamewashinda wananahaha na bandle za buku hawana mana kula maisha mama cookie na mumeo tena mnaendeza.huyo mtu aliekata network unahangaika nae wa nini hangaika na zar anaeza kukupa hata mtaji mama dai haez kukuacha bila mtaji sio hao walala bar na wahangaika na vigodolo mama cookie na mose miaka 1000000000000 kwa dai.............................

    ReplyDelete
  17. ACHANA NAO!CHUNGA MAISHA YAKO MAANA NDICHO CHA MSINGI,WENGINE NI VIVURUGE TU!KAMA WANAMANISHA WASEMAYO WANGEKUJA KUKUAMBIA USO KWA USO,MAADAMU WANASEMA KWA KUJIFICHA TUPA KULE,KAMATA IYOBO NA WATOTO WENU SONGA MBELE!USIWATUKANE WALA KUJIBU LOLOTE POTEZEA ILI WAPAMBANE NA HALI ZA MAISHA YAO!

    ReplyDelete
  18. na nyie mnaomsapot Aunt team nn? Mavuzi au Vinembe. uhayawani tuu.

    ReplyDelete
  19. Yaani eti because family ya diamond haikwenda so whatt afadhali hawa kwenda waka enjoy wenyewe bila vigoma.family uswahili tu hao qamefanya yao ya kizungu ambaye ajapenda aunt kwenda anywe sumu.mwacheni dada wa watu who are you to jurge her Wema kawatukana na kuwakana mchana kweupe wenye kiherehere.wema wema mkome team team sasa kawapiga full stop mnahamia kwa aunt kumchagulia maisha really bitches

    ReplyDelete
  20. TOA FUNZA KICHWANI ANONY 1.15 PM. HIVYO VIGOMA NDO VILOMZAA DAI NA KUMSAPORT KUIMBA MPAKA ALIPOFIKA IKIWA MAMA YAKE HAYUKO RADHI HATA ANDE WAPI KUINJOY NA HUYO HUYO BI LEBA NI KAZI BURE. KIKI ZA AUNT ZINAJULIKANA KWANI DAI HUWA HAWASAHAU ALOWAVUA CHUPI KAMBLA YA BIBI YAKE ZARI.

    ReplyDelete
  21. Ongeeni yoote ndo keshaenda sasa, haya mtamfanya nini maana hamuwezi pindua iwe hajaenda. Hahahaaa!

    ReplyDelete
  22. we aunty nimesahau kukwambia kwa jaribu ujibadilishe kwanza kuiga iga huwa hupendezi si unajua sura lako ni kubwa na hilo domo lako unapo chew chewing gumbyou loom so mshamba nafkiri english huelewi i am trying to explain in kiswahili jibadilishe be yourself

    ReplyDelete

Top Post Ad