Aunty Ezekiel Azidi Kushambuliwa Baada ya Kutokea Kwenye Birthday ya Zari...Ona Huyu Alivyomchana

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Naona Watu bado hawajamuelewa Aunty Ezekiel Kuhudhuria sherehe ya Birthday ya Zari Japo jana aliwapa mchambo wa nguvu......

Ona huyo alivyomjibu Aunty Ezekiel

Tzshaderoom 
well look at Dida Shaibu ni fan no 1 wa Mondi haina ubishi kaiweka wazi no problem at all kila mtu na mtazamo wake na wapi aelekeze ushabiki Miss independent Kala birthday kamaliza next day kasepa kuendelea na kazi zake. Yes hajihusishi na ishu za family ya Mondi yeye ni shabiki tuu. Back to Aunty Ezekiel ww ni Iyobo baby mama gal time to look at your self play ur role as a baby mama ishu zingine kaa kando so many names utaitwa coz we all TZ ktk Familia kukiwa na migongano ya Mara kwa Mara try to step out Ndugu wenyewe unaona wanavyo angaliana kwa macho Bila kujihusisha direct .cheki mchaga anavyo fanya yupo na bwanake tuuu cheki mke wa Babu tale cheki Mke wa salami woote wapo busy na Familia zao yes watamsalimia mke wa mondi but clearly unaona wazi kuwa Kuna some line wamejiwekea but ww #aunti kutaka kuplay smart at the end of the day utaonekana mbaya mama tee kasafiri na mwanaye where is your child 😨😨😨 wacha izo ishu banaaa kaa na Familia yako wacha mambo yakujifanya ww ndiyo Mrs salami or Mrs babu tale it shows you are trying so hard but the public wanajiuliza so many questions mbona hustukii? Why unashade more than #iyobo 😨😨😨 are you employed by WCB 😔😔😔 look Ndugu wapo kando but ww ndiyo umechukuwa nafasi ya Rommy J, Esma, Halima na Queen Darling hustuki tuuu 😩😩😩 wanawake na wake woote wa vijana wa WCB wapo kimya but wewe ndiyo upo tuuu ebu stuka Bana kaa kando let the family go to their crisis alone Mara nyakunyaku ooh nn #aunti do you think mtu akitaka kumchukuwa #mose same way ulivyo mchukuwa from Mwengi watashindwa 😨😨😨 think twice step out be normal like the rest✌✌✌
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

24 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hayo ulionena ni kweli kabisa yeye aunty afikirie kitu kimoja tu kuwa haikuwa mama dada na ndungu zake naseeb itakuwa yeye ukiona mwenzako kanyolewa chako kitie maji kwa hivo baina yako na iyobo hayo ninwewe na yeye lakini wewe kujipendekeza kwa zari that is a blaunder that is wrong kuwa akili sio kimo na mwili tu

    ReplyDelete
    Replies
    1. wivu utawapa vidonda vya tumbo

      Delete
    2. Nyie watu mna tatizo gani lakini? Mtu asiishi anavyotaka kwa nini?kila mtu mnataka afanye mnavotaka nyie. Nyie ni nani kucontrol maisha ya wengine?

      Delete
    3. Weee mpumbavu kwelii Nani anamkontrooo huyo Aunty???hapa anaambiwa ukwelii tuu KWANI yeye Aunty ni bora kwa mondi kuliko mke wa babutale au salim???hakuna loloteee mxiuuu ni mshenzi tuu na Malaya asokuwa na soko, mxiuuuu alikuwa anatoka Dubai pakukaa hana anafikia kwa Wema mpaka wema huyo huyo ambaye ni mbaya kwake ndo alomuonganisha kwa moze iyobo lakini Leo anamuona mbayaa Ama kweli limbukeni akipata matako yalia bwataaa!!! Huyo Aunty alishaolewa ndoa 2 za kiislam na sasa anataka aolewe na moze ya kanisani...ambayo ni ndoa ya 3 na moze akifilisika atamkimbia piaa!!!Ni Malaya wa bongo movie asiye na soko macho makavuu,Roho mbayaaa!!!mxiuuuu...

      Delete
  2. SASA NYINYI MNATAKA AFANYEJE?

    ReplyDelete
  3. sioni kosa hapo,acheni wivu wa kijinga,punguzeni roho za chuki

    ReplyDelete
  4. AUNT,ENDELEA NA MAISHA YAKO,UFAIDIKE NA MPENZI WAKO,MLEE WATOTO WENU,HAO WOTE WANAOTAKA KUWAPANGIA MAISHA YENU PAMOJA NA KUWACHAGULIA MARAFIKI WA KUWA NAO WAMEKWAMA TOTOLOOO!HAWANA JIPYA,NA MKIWACHEKEA WAKUIBIA HATA MUMEO!HAMJAKOSEA,HAMJAANZA LEO KUWA NA TAFRIJA PAMOJA NA DIAMOND AMBAYE NI BOSI WA MUMEO!BOSI HANUNIWI MAMA,MPENDE MTU WAKO KATIKA HALI ZOTE,NA HAYO NDIYO MAISHA YENU,KULA KWENU,AJIRA YENU!ACHANA NAMAFUNDI WAKUTUKANA HUKU MAISHA YAO BADO MAGUMU!NYAMAZA KIMYA,JIFUNGIENI MLANGO PANGENI MAMBO YENU YA MAISHA!WENZIO MLIOKUWA NAO UNAYAONA MAISHA YAO YALIVYO MAGUMU? HAYA ZEMBEA NA MAMBO YASIYKUWA NAFAIDA KWAKO UMTIBUE SHEMEJI UONE NJAA INAVYOTESA!!USHAURI TU,UNAWEZA TUPA KULE KAMA HAUKUFAI

    ReplyDelete
  5. Tumemzoea Aunty Ezekiel mnafiki mkubwa huyo wakati wa wema na diamond alikuwa anamganda wema kila mahali, leo hii anajishebedua kwa Zari tena. Huyu aunty anaangalia wapi pa kula, anatafuta Kiki hana lolote. Aunty fanya kazi tukuone na ww unatokaje kimaisha punguza utumwa mavi. Eti mondi bosi wa iyobo sawa hatukatai hata kama bosi ndo uwe mtumwa hivyo? Ndo maana mama wema aliwachamba mashoga unafiki msio na tija. Salam zako zikufikie Aunty Ezekiel

    ReplyDelete
  6. Akumbuke utu (mtu ni utu) asiache mbachao kwa msala upitao ana uhuru wa kuwa na mtu yeyeto lakini sio ajianike kwenye mitandao haileti picha nzuri ndipo hapi akaitwa majina mabaya yote

    ReplyDelete
  7. Jamani ni maisha yake kwani yeye na baba motto wake Iyobo walipofunga safari kwenda uko hawakujua kama wana mtoto.na ile ilikuwa ni sherehe ya mama Tee ya kuzaliwa kwaiyo Zari na Naseeb ilikuwa sawa walivyo mbeba mtoto wako lakini si zani kama ni sahihi kwa wageni wengine waalikwa wajibebeshe na watoto wao.na swala la Diamond na familia yake watu wengine haliwahusu sidhani kama Zari hayuko sawa na familia ya Diamond basi watu wengine baki ambao hawausiki na familia ya Mond nao wawe maadui wa Zari au wasimsuport zari.hiyo ni family issue so let the family handle it watu wengine tusiwavalie njuga watu wasio husika kuwabeza kushirikikwenye sherehe ya zari.

    ReplyDelete
  8. Hata sura yake amefanana na Zari lieve aunt alone

    ReplyDelete
  9. Halima mapengo alijipendekeza weeeeee, mwisho katupwa kama toillet papper. na wewe Aunt ulooacha kinyago chako home na kujifanya dada wa Domo iko cku utakuwa kama Sinta na watoto wa majalalani.

    ReplyDelete
    Replies
    1. KINYAGO WEWE NA WATU WAKO WOTE MFYUUUUUUUU

      Delete
  10. aunt mwambie bi Leba na wewe ulitiwa na Domo. mbona umeyafichaaaaaa?

    ReplyDelete
  11. Acheni usengi wenu mlitaka afanyaje nyie ninani kumpangia mtu maisha yake acheni unafiki wakijinga so whattttt if she went to Zari birthday binadamu mwogopeni mungu kwani hao ndugu wa diamond walinyimwa wasiende au uswahili umewazidi sana aunt aunt mwacheni angaliyeni ya kwenu kwanza.Lmao

    ReplyDelete
  12. kwanini msimwambie diamond amuache zari ili familia ikae sawa maana aunt hajaigombanisha familia yao so haimuhusuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu yeye kaalikwatu kama nyie mnavyoalikwa na marafiki zenu mwacheni mtoto wawatu, au mlitaka iyobo aende na demu mwingine ili mseme aunt kaachika, SIPENDAGI UJINGA MIMI

    ReplyDelete
  13. kwanini msimwambie diamond amuache zari ili familia ikae sawa maana aunt hajaigombanisha familia yao so haimuhusuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu yeye kaalikwatu kama nyie mnavyoalikwa na marafiki zenu mwacheni mtoto wawatu, au mlitaka iyobo aende na demu mwingine ili mseme aunt kaachika, SIPENDAGI UJINGA MIMI

    ReplyDelete
  14. mnafiki usokuwa na haya wala vibaya wewe Anony 1.10 PM NA 4.10 pm. kumbukeni Aunt alivyokuwa anamnyakulia Wenge na alikuwa na mtoto mdogo aliumia vipi sembuse Wema alivyokuwa anamlea kama mwanae na kumpa Mose iyobo. leo kayasahu anahamia kwa Zari na kujifanya shoga mzuri na yule Andunje mfupi kama kimba Dida. wajaalana, afrit

    ReplyDelete
  15. Enter your comment...waswahili bhana kwani zari ni nani mpka akionekana yupo company na MTU ni kosa aunty hana kosa kwani yy anaugomvi na zari au familia ya mind?panapowezekana kufanyika kitu pafanyike huo ugomvi wao hauwausu wengi zari lazima apewec ompany mbona mnataka kuwa wabaguzi lzm tufike sehemu tukubali zari yupo juuuuuuuuu

    ReplyDelete
  16. si wabaguzi wala nn. Zari hawapendi watz. iweje sisi tumpende? kajikombe wewe na huyo Aunt wako Anony 5.58 PM

    ReplyDelete
  17. Wewe anony12:25 uwezi kumuita mtoto wa mwenzio kinyago. Fikiria sana kabla ujaandika maneno yako. Ambao Mungu hajawajalia watoto mnaita watoto wa watu vinyago muombeni Mungu na nyie awape hivyo vinyago mlee. Ni bora mwenye kinyago anajua uchungu wa mtoto kuliko wewe unayejaza choo na kubeba mbwa na kuwaita watoto. Bora kinyago cha kuzaa kuliko wewe mwenye vinyago vya kuchonga. Msiokuwa na watoto cku zote uwa mna hasira na watoto wa wenzenu. Jazeni vyoo

    ReplyDelete
  18. Kwanza Aunty Ezekiel alikuwaga ni mwanamke wa Daimond zamanii,Je zari analijua hiloo!!????Haya yetu machooo!!! Leo anajifanya yeye ndo bora kuliko mke wa Babu tale au salim...jamanii ziki hiziii na ukiendekeza njaaaa ni balaaa!!! Mtu anasahau hadi Utu wa mtuu...Ana laana huyu Aunty Ezekiel sio bureee!!!pumbavuu...

    ReplyDelete
  19. na wewe ulikuwa wa nani zamani? au sababu hujulikani!!!

    ReplyDelete
  20. Kwa chuki ulonayo anony 5:36 AM huwezi kutushawishi kwamba unamshauri Aunty zaidi ya majungu tu. Hebu achana na maisha ya huyo dada utafute maisha yako, inaonesha unatumia muda mwingi kumsema binti wa watu hata kazi hufanyi. Muombee kwa Mungu kama unaona anapotea lakini sio kumtaka aende kinyume na matakwa ya mumewe ati aendelee kuonesha alivyofadhiliwa na Wema. Huo ni utumwa wewe kama umeamua kutumika endelea usilazimishe watu wote washabikie timu za kishenzi ambazo Wema mwenyewe kazikataa na kuziita ni za kinafiki!!

    ReplyDelete

Top Post Ad