KIMENUKA Nyumbani Kwa Diamond..Zari Akuta Hereni za Mwanamke Chumbani Kwao...Zahisiwa ni za Hamisa Mobeto

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

First Lady wa Madale, Zari The Bosslady ametupa tena jiwe gizani. Awamu hii ni kwa mwanamke ‘fumbo’ ambaye anadai aliacha heleni zake katika chumba chake – hajasema ni kipi lakini ni wazi ni chumba cha Diamond, Madale kwakuwa yupo mjini. Posts hizo za Zari zinaendelea kuziongeza nguvu tetesi za muda mrefu za usaliti katika uhusiano wao na huenda ameamua kuzoea na kuamua kupigania tu nafasi yake. Ujumbe wake una mafumbo na madongo mengi lakini ni wazi kuwa amani itakuwa imechafuka kidogo kwa couple hiyo yenye nguvu Afrika Mashariki...Huku Instagram Wadau wanadai Hereni hizo ni za Hamissa Mobeto kwa kuunganisha picha ambazo Hamissa anaonekana kuvaa hereni zinazofanana na hizo

Hivi Hapa Vijembe vya Zari kwa Mwanamke Huyo:


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nyumba yakoooo uwiii yani we sijui watu wanakuogopa una nn jamnn ingekuwa mi ndo side chik wa domo mbona ningekurarua we ushabiwa kaa kimya...bidada huyo wetu sote...umemkuta huyo hamisa mpole...wee mi ningekuja na sijui ungenifanyaje maana huo mtiti hata huyo domo asingeuweza...hahhahaha hii inaonyesha wazi jins domo anavyokudharau yanii poleee sana

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mwehu yule dada yaan anajiona cake sana,,, anajiona amemkamata diamond nawakat amemkuta na maisha yake anabore mno mfyeeeeee

      Delete
  2. umezeeka..wewe zaa tu umalize.domo bado mdogo..tegemea mengi toka kwake...mbona wee ulikuta mtu?

    ReplyDelete
  3. Hawa watu wana create drama kutafuta kiki kwenye nyimbo yake mpya .attention seeker period

    ReplyDelete
  4. Hana lolote na limimba lake fupa lililomshinda fisi we paka utaliweza...yan hamisa we mpole mno chaaa..huyo kijana domo yani tunafanya kumu oda ka pizza...domo ndo kwanza ana miaka27 sijui aje atulie kwa limama lenye 40+like seriously shit limama ambalo lishajipiga madole na tape iko mtandaoni khaaa libibi lishafanya kila aina ya ufuska ndo uje umtulize eti kisa umemzalia...hhahahah we muache mond akishafikisha 40 ndo nayy atatulia atatafuta mke sasa wakat huo we una 60...hahhaaha upo zari so tuliza kitenesi bi dada mond tutamla tuuuu...utake usitake....nyambafuuuu

    ReplyDelete
  5. kasahu tulivoona uchi wake ulivyo mchafu. leo anamtukana Hamisa? mbona Hudaa hamjibu Kimeisha Kizee cha ug.

    ReplyDelete
  6. Ana jishusha hadhi mama mtumzima. izara tupu

    ReplyDelete
  7. nyumba ni ya mama naseeb bi Sandra weww ubakie kutapatapa huna lolote umeshamnyonya ivon sasa unataka kumfyeka naaeeb bibi utayaweza kwanza mama mkwe wifi hawakutaki sasa wewe unadai nyumba yako dijui chumbani kwangu hivo wewe mbn unastajabisha unakera hswa

    ReplyDelete
  8. Kila fuska zikizidi baraka inatoweka kwasababu hakuna imanikila mtu anawaza uchafu

    ReplyDelete

Top Post Ad