Mama Diamond Amtumia Salama za Birthday Wema Sepetu...Zari Alinyimwa.....Kunani?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

September 28, 2016 ni siku ambayo anazaliwa mrembo na mwigizaji wa Filamu, Wema Sepetu ambapo pamoja na watu wengi kumtakia kila la kheri  yupo pia Mama mzazi wa Diamond Platnumz ambaye kwenye akaunti yake ya Instagram amepost picha ya Mama yake Diamond akaisindikizia na maneno haya ..

Happy birthday.. Mamy akee @wemasepetu mungu akuongezee umri na akujali kheri akufungulie Mlango wa baraka kwa kila uliombalo.Amin😘😘 👑🎉
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

22 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. wema ana kasoro zake ila ana sifa nzuri pia za kujali watu hususan mtu mwenye mahusiano naye na yeye huonesha ikramu kwa wazazi wa mtu. happy beithidei mtoto wa Sepetu.

    ReplyDelete
  2. mama hongera sana kweli unakumbuka hisani na unajua utu achana na hao waruka njia wa sio jijua walikotoka

    ReplyDelete
  3. Hakuna ubaya, msikuze mambo.

    ReplyDelete
  4. yani huyu mama hajawahi kujitambua. inabidi kianzishwe chuo cha ku behave kama mama wa super star. hakuna mwenye shida na birthday wishes ulizompa Wema, ni vizuri lakini huyu mama ni bonge la mburulz, hajitambui hata kidogo, Wema leo ndo mzuri, ndo mana wale iliyokuwa timu wema walsambaza voice note zake anaonge na njemba flan anambembeleza, yani ni mama flani bonge la mwehu, ajifunze ku control emotions zita mgharimu. STOP TWO FACING MADAM. JIFUNZE USTARAABU.

    ReplyDelete
    Replies
    1. mpumbavu acha kutukana mama wa mwenzio whtever shez she doesn't deserve ur insult.kamtukane mamako uliyemuacha kijijin unaropoka tuu ovyo....I beg leave her alone

      Delete
    2. wewe unayejitambua umefanya nini cha maana??? mbona hata mtaani kwako tu hawakutambui. halafu kama unajitambua kwanini unafuatilia maisha ya watu wasiojitambua. na wewe ni wale wale tu wasiojitambua am soleeeeee.

      Delete
    3. UMENENA VIZURI SANA. HUYU MAMA ANA MATATIZO. HUWEZI KUJIFANYA UNAMPENDA WEMA LEO WAKATI TUNAJUA ALIKUWA ANANGOMBANA NAE WAKATI AKIWA NA MWANAE. HALAFU CHUKI YOTE KWA ZARI NI KWA SABABU ANATAKA YEYE NDIO ATAWALE NYUMBA YA MWANAE NA HAKUNA CHA ZAIDI. SASA SI AOLEWE YEYE NA AMPE MONDI KILA ATAKACHO ILI ASIWE NA MWANAMKE? HUYU SI MAMA BORA. KUZAA MTOTO SIO NDIO UMMILIKI KAMA VILE NI KIFAA CHA KUKUENDESHEA MAISHA YAKO. TUNAZAA WATOTO NA TUNAWAACHA NA WAO WAWE NA MAISHA YAO, SIO HIVI ANAVYOTAKA HUYU MAMA

      Delete
    4. Ni huzuni kuona kina mama wanaingilia maisha ya watoto namna ambayo inaweza kusababisha huzuni kwa mtoto. Unapogombana na mkwe wako unamuumiza mtoto wako. wanawake tuache watoto wetu wafanye maamuzi yanayohusu maisha yao bila kuwaingilia. sisi tulikuwa na wakati wetu na tulifanya tulivyopenda. watoto wetu nao wana haki ya kufanya yale wayapendayo, sisi ni kuwashauri tu ili wasipotee katika hii dunia lakini sio kuingilia maisha yao. unapochukia mtu anayependwa na mtoto wako unampa huzuni mtoto wako. sio sahihi kabisa. kama unampenda mtoto wako utataka awe na furaha kwa hiyo utamsaidia abaki kwenye furaha. Busara inahitajika sana kwa wamama wote. kuzaa mtoto sio kwamba ndio umiliki maisha yake mpaka asiheme. mpaka afanye lile tu unalotaka wewe. mtoto wako si mtumwa wako, ni mtoto na inatakiwa umpe uhuru aishi kama mtu aliye huru. sasa mnaanza kukomoana na watoto mitandaoni kweli ni akili hiyo?

      Delete
    5. Ni huzuni kuona kina mama wanaingilia maisha ya watoto namna ambayo inaweza kusababisha huzuni kwa mtoto. Unapogombana na mkwe wako unamuumiza mtoto wako. wanawake tuache watoto wetu wafanye maamuzi yanayohusu maisha yao bila kuwaingilia. sisi tulikuwa na wakati wetu na tulifanya tulivyopenda. watoto wetu nao wana haki ya kufanya yale wayapendayo, sisi ni kuwashauri tu ili wasipotee katika hii dunia lakini sio kuingilia maisha yao. unapochukia mtu anayependwa na mtoto wako unampa huzuni mtoto wako. sio sahihi kabisa. kama unampenda mtoto wako utataka awe na furaha kwa hiyo utamsaidia abaki kwenye furaha. Busara inahitajika sana kwa wamama wote. kuzaa mtoto sio kwamba ndio umiliki maisha yake mpaka asiheme. mpaka afanye lile tu unalotaka wewe. mtoto wako si mtumwa wako, ni mtoto na inatakiwa umpe uhuru aishi kama mtu aliye huru. sasa mnaanza kukomoana na watoto mitandaoni kweli ni akili hiyo?

      Delete
  5. Kweli huyu mama ana two face

    ReplyDelete
  6. Anoy10:59 usimkandie mzazi wa mwenzio namna hiyo ana haki ya kuchagua na wema anajua hekima za kiafrika

    ReplyDelete
  7. HUYU MAMA KWELI ANA SHIDA KICHWANI. HUYU WEMA ALIGOMBANA NAE SANA TU SASA HIVI ANAMTUMIA KUJIFANYA KUMUUMIZA ZARI. WAMAMA WA NAMNA HII NI HATARI SANA. HAKUNA MWANAMKE ATAYEPENDWA NA DAI AMBAYE HUYU MAMA HATAMCHOKONOA. ANA WIVU NA WANAWAKE WA MWANAE ANAONA KAMA WANAFAIDI. ASIPOACHA HIZO TABIA ATAMHARIBIA MWANAE MAISHA. MAMA MITANDAO HAITAKUSAIDIA ISHI KAMA KINA MAMA WENZIO.

    ReplyDelete
  8. kweli dunia hadaa. si huyu huyu mama aligombana na Wema mpaka wakanuniana leo eti anataka kutuonyesha kuwa anampenda kuliko zari? kweli ? mama hivi kwa nini usiache mwanao akaishi maisha yake jamani mbona unamtesa sana mwanao wewe mama? hivi unafikiri unamkomoa zari lakini ujue unmsononesha mwanao we mama gani huna huruma na mwanao?kha! kisa hela ndio umsononeshe mwanao kiasi hiki?

    ReplyDelete
  9. Di ndo hajitambui. Yuko too close to his family and he should be careful anachukua mwanamke gani wa kuendana na familia. Big up mama usiruhusu vichaka ktk shamba lako. Familia inayoelewana muhimu bwana. Zari is too sophiscated she is not even comfortable with watz. Kinacho mcomfort ni pesa za Di tu.

    Wema oyee and Happy birthday dear.

    ReplyDelete
  10. Mashangingi wote
    Si Sandra
    Si Zari
    Si Wema
    Si mama Wema
    And Domo shinkuba Lao

    ReplyDelete
  11. Safiiiiii asanteeeeee bi Sandra lov uuuuu na Siku ya sherehe ya wema uendee pia ukamuogeshe mipesaa watu wazidi kusemaaa wapumbavu Hao usiwajali mamiii, we we ndo mama mzazi WA Naseeb huyo Malaya zari atakuendeshajee. ..atarudi kwao Uganda kama alivyokuja na tunataka tiffah DNA plzzzzz

    ReplyDelete
  12. Apelekwe tena europe .atampenda tena Zari.

    ReplyDelete
  13. mimi macho ya Wema siyapendi sababu yanaonekana feki na ni mabaya sana sana anapoangaliaga kwenye kamera akipigwa picha

    ReplyDelete
  14. du yani ni mama flani bonge la mwehu ha ha ha mdau pale juu kanichekesha umempatia kweli kweli big up

    ReplyDelete
  15. mama flani bonge la mwehu he he he

    ReplyDelete
  16. Wema alipokuwa na Diamond alikuwa katulia lakini tangu Diamond amuache yaani kachanganyikiwa mpaka anaropoka hovyo anawaletea mapovu team yake mwenyewe du! eti anawaambia team wema eti niacheni na maisha yangu bla bla bla

    ReplyDelete

Top Post Ad