Mama Diamond ni Moja ya Walionifanya Niache Kumshabikia Diamond

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wakuu Salaam Sana
Mimi Nilikua shabiki mkubwa wa Diamond Platinums Baada ya uswahili na uanakijiji uliopitiliza wa Mama yake kujianika privacy zao kwenye mitandao ya kijamii na kuonekana familia yake hawajiheshimu nimeacha kumshabikia Mond na nimeshachoma kazi zake zote za kwake nilizonunua , Mliobaki kama mashabiki zake mwelezeni aige mfano hata kwa wasanii wengine wakubwa ambao mama zao hawatukani hovyo kwenye mitandao ya kijamii.

By Arovera
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huo uswahili wao ndo unaowapa usupa staa

    ReplyDelete
  2. Mnavyomtukana mnaona raaaha, ndo kawajibu sasa. Halafu wewe yaelekea unahasira na Wema unaona umuunganishie huyu mama. Tanzanians Grow up, huyu mama hatukanagi ovyo, muheshimuni muone kama atatukana. Msitake Kiki za kumkosanisha na mwanaye

    ReplyDelete
  3. Mnapenda kusema wazee wa wenzenu tuu yale yote unayoyaona yeye wala si msemaji
    Unamuonea Donge tuu

    ReplyDelete
  4. Napenda anavyowajibu mnapompigia simu za kimbea.she is so beautiful too.

    ReplyDelete
  5. ushauri wa bure kwa mama diamond mwachie mtoto apendacho yeye, sio wewe upendacho!!

    ReplyDelete
  6. Tena huyo zari ndiyo asiongee kabisa na hivi amezaa watoto wa kiume na mambo anayoyafanya mbele ya watoto wake!!! watamdharau sana hapo baadae na hata wanaweza muomba uroda maana wanamuona malaya tu!! kama ameweza kutembea na mtoto mdogo kiasi hicho kwake atashindwa nini kufanya mengine!! so wamuache mama Mondi amwambie Mondi chochote atakacho na apendacho mlimsaidia ubereko nyama nyie.

    ReplyDelete

Top Post Ad