MSWAHILI Aachi Asili..Diamond Amrushia Dongo Mume wa Zamani wa Zari..Huku Akijisifia Kwa Nyumba Aliyonunua Afrika Kusini

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwanamuziki Diamond ametupa Jiwe Gizani ambalo ninaonekana kumlenga mume wa zamani wa Zari Hassan....Lisome mwenyewe Hapa chini:


Diamondplatnumz

They are busy bragging them selves that they are Rich while their Kids staying in the Renting House... and now a person wich they are daily abusing and saying that he's broke & Poor Bought a House, so that their Kids can have a better life, as they always wish on Social Media..... Happy Birthday Mama tee i hope you like our new South African House....Can't wait for your Big weekend in Zanzibar tomorrow....I love you So much mama tee, we ndio Salome wa Moyo wangu pekee @zarithebosslady 😙🌷🎉🎂🎂🎉🌷 (Wanakazana kujisifu Matajiri Ilhali watoto zao wanaishi kwenye Nyumba zakupanga... halaf leo yuleyule wanaemtukana kutwa kwenye Mitandao kuwa Masikini, kajawa na shida, Kanunua nyumba kulekule kwao ili watoto wao waishi Maisha bora kama wanayoyatamani... Heri ya siku ya Kuzaliwa Mama tee wangu.... Nakupenda sana na unalifahamu hilo...natumai umeipenda Nyumba yetu hii mpya South Africa... nasubiria kwa hamu kusheherekea nawe siku yako hii kubwa kesho zanzibar.....
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Tukomesheni tu BA na MA Tee,
    ndio kilichobaki.

    ReplyDelete
  2. KWA WALE WASIOPENDA KUONA MAPENZI YAO HII INAFAA KUWA SOMO KWAO.KUMTENGANISHA ZARI NA DAIMOND KUNAHITAJI NGUVU ZA ZIADA,
    WANAJUA KUCHEZA NA AKILI ZA WATU SANA,MAISHA YANAENDELEA.

    ReplyDelete
  3. Hapo Zari lazima atulie tu hat hata kama anachanganywa na wanawake wengine.chezea nyumba Weye?

    ReplyDelete
  4. Duh kwahiyo Zari hana nyumba a me panga? Mh makubwa

    ReplyDelete
  5. Domo acha ushoga na ulimbukeni wewe
    Mtunze baba yako kwanza

    ReplyDelete
    Replies
    1. Na watoto wake Pia, ndio ndiyo muhimu asije achwa nae bure na generation yake eti akumtunza baba. Kwanza baba kesha maliza na starehe na za dunia hii. Atunze watoto wake kwanza akumtunza yeye ndio asitunze na yeye wa kwake nyie vip, mambo uenda yakijisahisha, hao unawaona wakina tee na wengine wako mbioni kuzaliwa ndio Picha ya Diamond baadae, muacheni alee, watoto wake, asije achwa bure, kama nae alivyomuacha baba yake, aanajionea atimize wajibu wake kama baba, Watoto nao hawajagi kirahisi muda mwengine, msije mkazani oooooh!!!! Mbona wanawake wengi, mmmmh waweza kuta kati ya hao, damu za kuendana zalisha watoto haziendani, ila kwa bi Zari. Hapo aaaaa!!!! Poa

      Delete
  6. sasa na yule muosha pamper za Tifaa atakavyo itanganga kama yake. Nyampua.

    ReplyDelete
  7. ajenge hata mbiguni. lakini ataondoka na shuka nyeupe akeseme madhambi yake. bi Leba atazaa 10 mwaka huu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. KWANI WOTE WENYE MIJENGO HAWANA DHAMBI ILA DIAMOND TU? ACHA WIVU WA KIJINGA WEWE!!!!

      Delete
    2. Hata azae 20 wewe inakuhusu nini.Chokooooooooooo!

      Delete

Top Post Ad