Mwanamuziki Diamond Platnumz Kuvunja Rekodi yake Mwenyewe

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kanichambua kama karanga mama. Chambua kama karangaaa
Good morning mabibi na mabwana. Inatia moyo sana kuona msanii kutoka bongo land anaweka rekodi na kuivunja mwenyewe. Mpaka sasa hakuna msanii yeyote barani afrika ambaye Video zake zinatizamwa na watu wengi ndani ya muda mfupi kama Mondi Platnumz.

Sio kuwa tunajivunia Viewers ila tunajivunia Mziki wetu kutoboa zaidi Anga za kimataifa. 
Japo kuna watu wachache walioanza kuleta chokochoko na kutaka wimbo huu mpya ufungiwe kwa madai ya kutokuwa na maadili ila wengi wetu tunampongeza kwa ubunifu na kumsaidia Bi Saida karoli kurudi tena masikioni mwa watu. Binafsi baada ya kusikia wimbo huu niliamua Kudownload na wimbo wa Saida karoli ili nione kama ameutendea haki wimbo huo. 

Hongera Diamond platnumz na tunatarajia leo Tutahit 1M viewers ikiwa ni siku ya pili baada ya Salome Kufufuliwa.
Ujumbe wa leo " WENYE WIVU WAJINYONGE"
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hii video kiboko kuliko zote alizowahi kutengeneza!! Hongera Mr D kwa kuutendea haki wimbo huu!

    ReplyDelete
  2. HONGERA SANA DIAMOND. VIDEO NI BOMBA SANA!!!BIG UP BABA TIFFA!!!

    ReplyDelete
  3. Wimbo hauna maadili yapi jamna hv waja wakoje lakn kama ni mashairi ni mashairi mazuri tu ambayo yamebeba ujumbe wa kificho...si mdogo si mkubwa mpka uwe na akili ya ziada kuelewa kaimba nn...kwa wimbo huu nitamtetea domo mpka mwisho..mi sio shabiki wake lakn jana baada ya hii video niliweka silaha zangu chin na kuanzia sasa mi ni shabiki wake..kaninyooooooshaaa hahahhaahah

    ReplyDelete
  4. Enter your comment...video nzur jaman yeleuwiii mpk najiramba ilivyo tamuuuh

    ReplyDelete
  5. hii video siyo nzuri amekuwa na video nzuri zamani kuliko hii hapa yaani hii video ni simple sana hata ile ya mbagala ni nzuri sana mara mia kuliko hii

    ReplyDelete
  6. Yea imekosa maadili kweli pia kwa maoni yangu tusisifu tu...

    ReplyDelete
  7. Yaani kabisa unanimalizaga kidogo kile ndio bora kuliko

    ReplyDelete
  8. furuu matusi kibane kwa cha BI sadra au mama 4

    ReplyDelete

Top Post Ad