PROF. Tibaijuka Akataa Kupokea Shilingi 200 Millioni

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mbunge wa Muleba Kusini, Profesa Anne Tibaijuka amesema amepata tuzo nchini Marekani ikiwa ni kuthamini mchango wake akiwa Umoja wa Mataifa lakini akakataa kuchukua fedha dola 100,000( zaidi ya Sh 200 milioni) ambazo huambatana na tuzo hiyo.

Alisema alikataa kupokea fedha hizo kwa sababu maadili ya nchi yetu hayaruhusu kupokea zawadi kama hiyo.

Alisema lakini aliwaeleza kwamba katika mkoa anakotoka kumetokea tetemeko la ardhi na kuna maafa.

Alisema wao wataamua cha kufanya lakini yeye binafsi amekataa kupokea fedha hizo.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Danganya toto kama kawa labda Nyerere hangezikataa hizo pesa shauri yule mzee alikuwa na msimamo thabiti wa kutoku yumbayumba lakini nyinyi wengine ni magumashu tu mmakimbilia hivyo vyeo vyenu shauri ya kujinufaisha wenyewe binafsi leo hii huzikatae za bure?Waongopee hao hao onyesha bank account yako ya USWIZI au HONGKONG tuone kama hizo pesa hazikuhifadhiwa huko kimyaaa usiwafanye watu mafala

    ReplyDelete
  2. Nidhamu ya woga tuu. Hiyo ni haki yake. Angepokea halafu alifika tz angetoa jimboni kwake.

    ReplyDelete
  3. Pokea hela lete nyumbani mama. Ni haki yako

    ReplyDelete
  4. Hela alizozivuna toka apate kazi ya uongozi ni nyingi sana zaidi ya hizo sasa huto tuzawadi twa nini?. Hizo zawadi za hela huko umoja wa mataifa Kuna walakini, wanajua wakiwapa tuhela viongozi corrupt ndio wanazidi, kuangusha nchi zao, kuziweka corrupt kabisa na ziendeleee kutwa nchi za dunia ya tatu, nchi masikini, huku nchi tajiri wanazidi kutajirika kwa kupitia nchi hizo zinazoitwa masikini na za dunia ya tatu, si wanajua wajinga ni wengi na wengi hawajielewi na wala maishani mwao hawajawahi toka, kwenda kuona kwao na kujifunza zaidi zaidi humo humo nchi mwao , au nchi za jilani zao, nao Pia wanalingana, watajifunza nini?

    ReplyDelete
  5. Sasa ulipo zikataa kwanini unatutangazia!! Au kwanini unawawekea mashariti kuwa zipelekeni jimboni kwangu!! Siku ya uchaguzi siuta wakumbusha watu kuwa waliwahi kupokea pesa iliyo tokana na kazi yako. Pesa ulizopewa ni shukurani ya kazi nzuri uliyo kwisha ifanya, upewi pesa ili uwafanyie kazi. Mawe notina amaela anga notina JPM.

    ReplyDelete
  6. kesha shiba hela za escrooow HUYU

    ReplyDelete
  7. chikua na uzitoe msaada kwa wahanga wa tetemeko

    ReplyDelete
  8. Duh! Hii kali ya kufungia mwaka!!!! Amekataa 'tuela-twa-mboga!!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad