google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Utata wa Nyumba Mpya ya Diamond Waibuka | UDAKU SPECIAL

Utata wa Nyumba Mpya ya Diamond Waibuka

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Habari zilizo chini ya carpet huku Instagram ni kuhusu nyumba mpya ya mwanamuziki Diamond iliyopo South Africa zinasema kuwa mjengo huo bado haujalipiwa na uko sokoni kama picha inavyoonyesha hapo. Hivyo si Diamond wala Zari wana umiliki halali wa hiyo nyumba......


Mdaku Mmoja Huku Instagram Ameandika yafuatayo:

Tzshaderoom
"#roommates nilipost since angalieni post za nyuma nilikuwa wazi. Inasemekana #zari alikuwa akimkosesha Amani #chibu anunue nyumba south coz #ivan hamtaki mwanae kwake. Then msg zilizokuwa zinaeleza #zari atoke ktk nyumba #ivand akazisambaza kisa #mondi kapost nyumba akidai kuwa kamnunulia zari 😂 guys nilikwisha Sema kigoma hapatoki fala uzalendo Kwanzaa 🙌 do you think if #mondi hakuwadhibiti na Ile post yoote yanayo jiri tungeliyajua 🤔 jibu unalo. #zari na #ivan ni business partners now naomba nifunguke. Zari came in Tz kwa Nia ya kufanya kazi na #mondi akawazunguka walio kuwa wanandaa kazi hiyo ifanyike akaomba no. za mondi from mwanadada alioko karibu na binladeni mwanadada huyo anaandaa kipindi flani hivi cha TV. .
Zari alipopata number akampigia mzee wa kugonga na wakakutana na akagonga while wandaaji wa business wamewekwa pending na #zari well hapo Bila kusahau #zari alikuwa bongo kwa niaba ya Sponsor.
.
Why I call everything was well arranged coz #zari alijua what #mondi wants that time #wema was so sure with him. Hapo katikati aliye tangulia hotelini akiwa bongo ni siri binafsi ya #zari then baaaam akasema wamekutana ktk ndege which was a lie walikwisha kutana b4. hatujatulia baaaam she is pregnant 🤔
.
In btn so much drama zimepita my point is #zari and #ivan knew everything I mean everything nakuwa kitakacho mkata pembe #mondi ni mtoto then wafanye Yao. The more wanajifanya hawapo in good terms in public while ktk Bata njee ya media wapo pamoja is the more my 👃 ilipo nusa mchezo.
#mondi kama kawafix am proud of him 👏 coz tunaona kabisa how the movie is going do you think if angelikuwa kanunua huo mjengo kwa mashauzi ya #zari akisaidiwa na #ivan angelikuja kupambana na #bisandra hale 2 the NO. Birthday ingelifanyika south ktk mjengo mpya. .
Why am on #mondi side na kumsifu kwa alicho kifanya #mondi ka hustle to be who he is today so no way to fix him ktk mitego ya kijanja coz Kisha jaribiwa saana. How many girls wanagongwa in TZ na njee do u think hawataki kuwa na mtoto wa #mondi 🤔jibu unalo.
#zari take #mondi child support na ukitaka 🏡 chukua funguo 1 kwa #bisandra ✋ let #mondi B PLS 😩 coz hata Ivan hajakupa 🏡 na umezaa naye 3 "
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. duuh inawezekana kabisa kwani sisi wanawake ni wabaya na hasa tukitaka letu ooh tandika ulale na huyu bibi zari ni mjanja sana na anatumia busara na naseeb nu mtoto wa jzu maji bado anita mma kwa hivo kaka amka kwenye usingizi mtoto ni mtego akiwa south wewe unajuaje zai yuko na nani

    ReplyDelete
  2. Yale Yale ya Wema kijitonyama
    Pole Zari umeacha mkojo shoja umekanyaga mavi
    Bwana muuongo majisifu limbukeni
    Zaaa naye lakini huyu bwana ana laana ya baba yake na dunia

    ReplyDelete
  3. thats true. Mond akilewa kwa ajili ya watoto atajuta, Zari na Ivan ni mafiya wanajuana na wanamchezea Dai mcheo mchafu!

    ReplyDelete
  4. Hahahhahahahahah umemaliza mdau yani umeanika mchezo mzimaaaa vzrr kabisaa

    ReplyDelete
  5. mmm binafsi hata sijaelewa!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kama hujaelewa pitraa usubiri hayo matokeo

      Delete
  6. thats is how is gonna be...Daimond atakuja jutaaaa sanaaaa..wewe muacheni watamlia hela huyooo mashauzi yote yatamuishaaa...huyo mwanamke hafaiii kabisaaa!!! anataka pesa ya daimond tuuu kwanza huyo zari hana kazi kwa sasa na hana hata duka 1 ..

    ReplyDelete

Top Post Ad