Wasanii 10 Waliobuma Pamoja na Kutoa Nyimbo Kali Mwaka Huu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mara baada ya team za pande mbili kuendelea kushamiri katika mitandaoni hali hii imewanyima nafasi wasanii wengine wa bongo kufanya vizuri nyimbo 10 ambazo zimeshidwa kufanya vizuri 2016 ni hizi

1. Kassim Mganga _Manuari
Pamoja na kutoa nyimbo nzuri yenye mahadhi ya pwani kama kawaida yake lakini nyimbo imeshindwa kufanya vizur kama ilivotegemewa ina miezi kadhaa lakini hakuna kitu

2. Mo _music_ Ado ado
Msanii aliyekuja kwa kishindo kwenye sanaa baada ya kutoa basi nenda ilikuwa kama wimbo wa taifa sasa amekuja na ya ado adi watu kama hawana habar nayo hata baada ya kufanya kichupa kikali

3. Lady Jay Dee_Sawa na wao
Baada ya kutoa ndi ndi ndi ilifanya vizuri akaachia nyimbo mpya
ni nyimbo iliyobuma kabisa

4. Chid Benz ft Raymond _Chuma
Baada ya chid benz kutoka sober alitoa nyimbo aliyemshirikisha kijana wa diamond lakini haijapata mapokezi makubwa

5. Linah Sanga_Raha Jipe Mwenyewe
Nayo ni miongoni mwa nyimbo ambazo azijafanya vizuri wala kusikika

6. Young killer ft mr blue 
Msanii young kila alikuja moto sana wakati anakuja ila amejikuta anawakati mgumu baada ya hizi siku zakalibuni kutoa nyimbo mbili zote zimebuma kwa kuendelea kutumia style zile zile

7. Banana Zolo ft Peter Msechu_Mama 
Hii ni nyimbo ya mama iliyobuma pamoja ujumbe uliopo ndani awali kipindi cha nyuma banana alishatoa nyimbo ya mama ilishafanya vizur mama zingine zilizofanya vizur ni ya bela na yamoto

8. Kala Jelemaya _ Wanandoto
Pamoja na ujumbe ulioimbwa ila watu wameuupuuza sababu pia nyimbo imewaendea walengwa pekeyao

9. Ommy Dimpoz_Hawapendagi
Nayo mashabiki hawajaielewa imebuma mazima

10.Baraka da prince ft alikiba _ Nisamee Unaionaje?
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. siku hazifanani!!!

    ReplyDelete
  2. lakini kwa nini bongo inakurupuka na wasanii yaani kuna wasanii wanatoa tu nyimbo mpya kila kukicha ukiangalia wasanii wenyewe hata hawajawahi kujulikana na mtu huwezi kusikiliza nyimbo mpya ya mtu ambaye hujui ni nani matokeo yake nyimbo zinaishia hivyo hivyo bila hata ya mwimbaji mwenyewe hata kuingia katika game, kama mtu mwimbaji na wala hujawahi kufahamika ni heri kwanza uanze kujitangaza mwenyewe kwanza kabla ya kutoa wimbo ufanye matangazo watu waanze kukujua baadaye ndiyo utoe nyimbo hapo ndiyo watu watataka kusikiliza nyimbo yako kwa kifupi mimi huwa sisikilizi nyimbo ya mtu ambaye sijawahi kumsikia ni nani au mtu ambaye hajulikani kwa jina watanzania mjirekebishe ama sivyo hamtofika mbali wale ambao wanafahamika na wamefika mbali watabakia wale wale akina Diamond na Alikiba

    ReplyDelete
  3. ni kweli du bongo bwana ni bongo utakuta mtu hata hajulikani anatupia tu wimbo au video kwenye mtandao eti nyimbo hiyo hapo wakati mtu mwenyewe hajulikani wala hatujawahi kumsikia sasa nani atapoteza muda wa kusikiliza au kuangalia hiyo nyimbo mtu hautoki kiurahisi namna hiyo

    ReplyDelete
  4. ukiingia tu pale bongo5 utakutana na vitu kama hivyo vingi

    ReplyDelete

Top Post Ad